Warioba anusurika kupokea kichapo kutoka kwa Mugabe baada ya kuiponda Cheketua
😱😱😱
Namaanisha Tid na Chillah 😕😕nini kinacho load mda mrefu hivyo?
Khaaaaa! Nilikua sijajua unamaanisha nini kwenye hiyo comment ya kwanza.
Uongo m baya mwimbo mzuri!, nimechekecha na kuchekechua mpaka nikajikuta kwenye hii thread!
#AliKiba
Khaaaaa! Nilikua sijajua unamaanisha nini kwenye hiyo comment ya kwanza.
Ulijua Baba wa zambia na mzee Wa rasimu ya katba
Ulijua Baba wa zambia na mzee Wa rasimu ya katba
Shauri yako.
Tuendelee tu kucheketua
Eeeewwwwww asante kwa kuliona hilo and karibu sana.
Binafsi mtu anaeuponda huu wimbo ningemshauri ajipe muda kwanza taratibu atauona utamu wake.
yaani nacheketua hatari kama princess vile
Eeeewwwwww asante kwa kuliona hilo and karibu sana.
Binafsi mtu anaeuponda huu wimbo ningemshauri ajipe muda kwanza taratibu atauona utamu wake.
Habari yenu wana kiba!
Ali kiba ndio mfalme Wa bongo fleva
......ni kweli, ukiupa muda unaona utamu wake!
Habari yenu wana kiba!
Hahahaaa, sijui kwanini nikikuona hapa hua nacheka sana!