We utakuwa wa mashavuni wewe!
Huwezi kaa/kuwa karibu na sehemu kama magomeni, keko, mivinjeni, mbagala alafu usimjue msaga sumu! Dah nifah umenikumbusha mbali kidogo aiseee.....swaga za uswahilini kwetu enzi zile kila penye mnuso kigodoro chake lazima wakeshe na nyimbo za msaga sumu.......yaani nilikuwaga nacheka nikizisikia hizo nyimbo hata ile kero ya makelele ya watu naisahau!! Japo mwanzoni zilikuwaga zinaniboa kinoma!
Usijali kipenzi....ndo game lenyewe hilo.
Mi mwenyewe chama langu kuna kipindi lilikuwa gongwagongwa hadi nikaamua kujibreakisha kwanza mpaka sasa hivi sijui mtiririko upoje!
Usijali kipenzi....ndo game lenyewe hilo.
Mi mwenyewe chama langu kuna kipindi lilikuwa gongwagongwa hadi nikaamua kujibreakisha kwanza mpaka sasa hivi sijui mtiririko upoje!