Ni kweli kwamba ni kazi rahisi sana kumjua mjinga, kwa sababu hataacha kufanya ujinga wake mbele ya wenye akili.
Mpwa
geniveros tumefundishwa kuwavumilia wajinga na ujinga wao coz wanatupa nafasi ya kuonesha kuwa sisi ni wenye akili.
Kwa hiyo mpwa vumilia tu.
Ova