Hahahahaaaa uwiiiii
Umbea huu utaniua mie.
Asante ngoja nijaribu......
umbea ukishaingia damuni ni balaaa!! hahaaaa utakuwa ulismell bampa to bampa si unajua tena ndicho kinachonukia now sie twasubiri tu kula, teh teh
Nakuambia ngoja nifanye fanye mpango nishike japo mistari miwili mitatu na mie.
huku na gombana lumbana piganaa na moyo wangu eee
maana naonaaaa, naona picha hata kama siwezi somaaa
navutia hisia naliaaa, kwani inaniuma sanaaa, na moyo wangu unaumiaa...
utamalizia
Unajiona bonge la mjaaanja mwenyewe eeh?
Hahahahaaa ngoja ninyamaze tu sisemi sana.Time will tell.....
Mhhhh huu wimbo?Sisemi sana aisee...
Ngoja nitajikongoja na mimi.
''Hasira hasara dear sikia wahenga walishasema,nami nitakasirika dear kesho nitakunyima,So ndo mchezo gani huo,wa kunikonyeza konyeza mchumba hivo,Najua mi unanirusha ro,....na kama unanipenda hakika mi utanilindaa,....'''my Viol hebu njoo kipande hii unipe dedication ya wimbo wowote wa king.
''Hasira hasara dear sikia wahenga walishasema,nami nitakasirika dear kesho nitakunyima,So ndo mchezo gani huo,wa kunikonyeza konyeza mchumba hivo,Najua mi unanirusha ro,....na kama unanipenda hakika mi utanilindaa,....'''
mtani hicho kicheko hapo mwisho cha nn?
Teh Teh mtani nimefurahi kuingia humu
Dah halafu bado sijaupata......nijishangae jamani!!!Avemaria kiboko bwana.Akiupenda tu tumekwisha!
Wife wa dunia.... aiseee....