Ali Kiba Fans' Special Thread...

Habari yenu familia King....
.Teh Teh
 
Aisee wimbo wa kimasomaso mzuri sana.Hua najenga picha ndio ningekua mimi nimeimbiwa vile....
Uwiiiiii ningefurahi sana!

Uzuri anao na sura naitangaza hii leo...
Waache waje wanafiki leo mtajioneaa...

Anayejua anajua tu!!
 
mwanzo nilikuonaa, sijui nilikuona na nanii eee,kwani najitaihidi niwe na weweee yaaweee,
kama ni ujanja mwenyewe wajua mi sinaaa
wololowololo........

nakupenda weweeee, nakufikiria weeweeee....

duuh hapana chezea wife wa dunia
 
Uzuri anao na sura naitangaza hii leo...
Waache waje wanafiki leo mtajioneaa...

Anayejua anajua tu!!

Yalosemwa jana yamejirudia yayaaaaa...
Unalia nini mwenzako nshajenga nyumba,ya kuishi sisi wawili tujenge tuwe na family....
Waache wayaseme wewe leo uko na mimi,na tule hizi raha tusahau ya duniani...

Aisee huu wimbo ni kiboko!Naupenda mpaka basi,hapa tu nausikiliza.....
Thanks King Kiba.
 
mwanzo nilikuonaa, sijui nilikuona na nanii eee,kwani najitaihidi niwe na weweee yaaweee,
kama ni ujanja mwenyewe wajua mi sinaaa
wololowololo........

nakupenda weweeee, nakuhikiria weeweeee....

duuh hapana chezea wife wa dunia

Jamani King ana mistari mitamu...kha!
Huo nifaufanyia kazi baadaye mama.
 

mie si umenikataza kukuimbia, basi tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…