Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Sasa ndio nimepata jibu aisee.Mbona kitorondo sijakiona hapo?Au hakipo hata kwenye 20 bora nini?
Teh teh teh
Waachen wafu wazike wafu wenzao!!😛😀😉
Wimbo Una miezi 6 au 7 ila unasumbua tu imeshika no 2 Kati ya 100
Waachen wafu wazike wafu wenzao!!😛😀😉
Ukiwa na maana gani?
Hahahaaa kama kunifurahisha tu, huwa unanifurahisha kwakweli.
Hujui kumumunya maneno ni mwendo wa letamkoz tuuu! Lol
Ukiwa na maana gani?
Kule kwenye iTune tunakoendaga kununua nyimbo kama amazon?
Duh katishaaaa!!!
Kule kwenye iTune tunakoendaga kununua nyimbo kama amazon?
Duh katishaaaa!!!
wakenya wanampenda sana kiba, hata utube comment nyingi nzuri zilikuwa ni za wakenya
pm!!! ngoja nikaombe kazi ya umoderator
Nitajie mtanzania wa kwanza kuwa nominated kwenye tuzo za BET kwanza......den nitakueleza maana yangu!
Unamaanisha BET ule mchezo wa kamali kwa mashabiki wampira? Jina lako linasadifu kabila moja la daresalam 😷😷😷😷
King katisha sana.Sijaamini macho yangu kabisa!
Umeona hizo project za King sasa?
Kweli aisee.Ujue Navio alivyofanya mahojiano na Misago kwenye FNL alimtaja King lakini akamuongeza ndomo baada ya kujishtukia....
Teh teh ....
teh teh teh, si mmeanza kunifundisha umbea wewe na Ms.Lincoln