kkwi kwiii kwiiii! leo nakusamehe lakini siku nyingine sema "Ahsante Maalim!" na sio mwalimu! rejea post yangu #7628 lol!
Hahahahaaaa dah....
Nimekupata sawia.Mimi nilidhani wewe mtu wa mara ujue.
we nawe ukiamua kupoteaaaaa!!! nimekununia
Kwa nini hawataki apendeke?
kwani wana sababu sasa!!! King anawakaba koo so asipopendwa watapumua, ila sasa ndio vile tena King ni kama maji ukisusa kunawa bado utamnywa, unaanzaje kumchukia Kiba jamani!!!
Tena mimi ndio sitaki kukuona kabisa.
Nimepotea wapi?Wenzio tupo sehemu wote akina Avemaria Matola Ms.Lincoln na geniveros.
Wewe tu ndio hatukuoni hata kukuita nasita coz ulishasema huoni notifications.
now naziona my dear, tatizo hili jukwaa mwenzio King ndio aliniletaga nilijizuiaaaa ila kwa mapenzi mazito kwa King nikajikuta naingia mzima mzima, lasivyo walaaa usingeniona, so naingiaga mara chache sana
Hapo sasa.Kijana anatembelea nyota yake sio wale wanaotembelea kick za kipuuzi.
Usijali my friend, nitakua nakuita kuanzia sasa.
Ila kwenye umbea unauweza?
Tena mimi ndio sitaki kukuona kabisa.
Nimepotea wapi?Wenzio tupo sehemu wote akina Avemaria Matola Ms.Lincoln na geniveros.
Wewe tu ndio hatukuoni hata kukuita nasita coz ulishasema huoni notifications.
hahaaaa!! huko hapana kwakweli, maybe unaomuhusu King
hayo ndio aneno abou, miss you
Miss u more hal yako bibie?
am very okey, just waiting for bampa to bampa
[IMG/IMG]
Mwez autoisha vitu vyaja🙂
Hahah ila kule nako kumenoga!