Ali Kiba Fans' Special Thread...

Teamkiba wengi atujaingia tumejiunga na bundles zao mwisho wa cku akuna ujumbe ulioingia ambao tungeutumia kama tiketi ya kuingilia mule

kwani abou hakukuwa na option nyingine ya kununua tkt?
 
Last edited by a moderator:
gnt dearest, nategemea kukuta update asbh, mie macho yashaanza kushirikiana
 

Ili ashangiliwe.......tatizo nyota yake ya paka kupendwa na wachawi.
 
Watu wanafanya hivyo vitu ila kwa D sijui kwakweli but ndo hivyo kama tulivyoelezwa. Si umeona ameandika ni issue ya ukweli!

Ni inshu ya kweli....tena watu walichonga Sana maana ng'ambo ya pili ndipo aishipo baba yake wa kumzaa na tena anaumwa sana lakini hakwenda zaidi aliishia kwa mganga wake.
 
Ivi kwanini wasanii wengine wanaendekeza ushirikina??Pamoja na kuvuka border kote kule jitu chawi kama nini sijuiii!!du
 
Mode huo mchezo ganiiii!Jamani wasanii wengine wanaweza kuolewa kwa kuendekeza ushirikina!
 
Abou Saydou njoo utupe updates huku achana na vigagura wamekesha wanakunywa damu ya mbuzi nifah upo wapi?
 
Last edited by a moderator:
Akajibiwa hivi.hyo n shaa akipga story na alikiba Jana sa cjui walimpa nn kumbuka n msanii Wa fella
 

Attachments

  • 1422178811314.jpg
    38 KB · Views: 159
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…