Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
mmmh!! hizo shida zote za nini sasa!! mweeh kaazi kwelikweli, kumbe kiba anawapa shida sana watu eti!!!! hashindani nao ila kuchwaa kumshindanisha na kumtafutia visa, wamwache afanye kwa nafasi yake as uwezo wote tunajua anao, sasa taabu ya nini!!!
Kuna mtu yupo huko nimemwambia asiache kunirekodia performance ya Kiba then anitumie whatsApp.Kiba anapendeka mno huku kitaa na sijui hao watakaojitutumua kuzomea watakuwa wameshawishiwaje yaani ama sivyo sauti zao zinamezwa na teamkiba!Ha ha ha yap......ila leo mishale ya saa 8 maeneo ya Kkoo nilikutana na baadhi ya vijana mitaa tofauttofaut wamevaa tshirt zimeandikws team kiba
Yote hiyo ili amfunike Kiba?? Mweeeeh!Mwenzake ana kismati cha kuzaliwa nacho!Ha ha ha jana maeneo ya magomeni kagera kama waelekea mburahati kwa mganga wake alikwenda zilichinjwa mbuz ile mbaya.Yaani hii ni inshu ya ukweli
Bado tu hakijanuka??Nakwambia kun kuzomeana inategemea nani ataanza kupanda on stage
miss u too abou
Bado tu hakijanuka??
Pozi lako tu!miss u too abou
Ha ha ha jana maeneo ya magomeni kagera kama waelekea mburahati kwa mganga wake alikwenda zilichinjwa mbuz ile mbaya.Yaani hii ni inshu ya ukweli
Yote hiyo ili amfunike Kiba?? Mweeeeh!Mwenzake ana kismati cha kuzaliwa nacho!
Haya tunangojea updates!Badoooooo
Haya tunangojea updates!
Pozi lako tu!
Tigo vilaza tu wamenikela vya kutosha Leo
Kimya kingi bibie
tigo wamefanya nn tena?
Teh! Teh! Haya mambo yapo etiiyou cant be seious!!! hivi haya mambo yapo kweli kumbe!!!!ni kiba tu anawapa watu taabu hv au kuna lingine???wao si wanasema kiba hamna kitu hata tuzo ni ya redio1 tu!! sasa kwann wahangaike hivyo if he isnt a threat to them? mie huwa najiuliza hili swali sipati jibu, ila ukiangalia in all ways still bado wakimtaja ndomo lazima wamuhusishe Kiba, why???? wakati washasema hana lolote???si watulie wafanye yao na kiba afanye yake kistaarabu tu, kwani sh ngapi labda!!!
Teamkiba wengi atujaingia tumejiunga na bundles zao mwisho wa cku akuna ujumbe ulioingia ambao tungeutumia kama tiketi ya kuingilia mule
Teh! Teh! Haya mambo yapo etii
Labda walilemewa na wingi wa watu. Never mindTigo vilaza tu wamenikela vya kutosha Leo