Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

huu uzi unaboa. mi nilijua wanamjadili kiba wao angalau nione kipi chafanya wamkejeli kwa kumuita king... cjaonamo chochote zaidi ya stori ambabazo ingewezekena kupigia PM...

Wewe ni great thinker.
 
Wewe ni great thinker.

Kibba ana kipi cha kujadiliwa?maana vyote vimeisha
1.watoto 3 kila mtoto na mama yake.imeshajadiliwa
2.video ya mwana.imeshachuja na haina mvuto tena
3.kushangiliwa sana fiesta.imeshajadiliwa
 
Jiandae kulia tena Leaders Club kwenye tamasha la tigo kiboko yao.

Na Davido hayupo sasa sijui yule malaya wa kiganda atawasaidia vipi?

Huku mwana Fa uku Kiba lazima mkae kudadadeki.
 
Diamond ni jeshi la mtu mmoja.tutakutana hapahapa jf ila msikimbie
 
sasa mama ufalmeni nani hataki kutia maguu??? utajuaje naye ni member jf asipopita humu??? sio kosa lake ni mvuto wa king ndio umemleta sema akajisahau hakuwasiliana na ubongo!

hili nalo neno hili
 
Wehu wengine ni wa kuwapigia kimya tu manake kuwajibu ni kupoteza muda.

Kweli kabisa, wakati mwingine kimya huwa ni jibu toka kwa mtu ambaye unajua wazi kwamba umemzidi sana akili.
Ujue bila JF hawa watu wengine tungeishia kuwaona tu kwenye zebra wakiwa wanavuka barabara au tuonane nao kwenye gates za makanisa na misikiti.
Ova
 
Underline.
 
Back
Top Bottom