Ali Kiba Fans' Special Thread...

OMG!!Yani nifanye project na Matola?!Kwa kweli sijui alipo,inshort sina ubavu huo!

Kwa nini huna ubavu huo?mwanamke kujiamini bwana...
Ni utani tu my dear,usichukulie serious kihivyo...
 
Last edited by a moderator:
Kiba a.k.a fundi, mipango ya kufanya colabo za kimataifa, mtindo wa bampa to bampa ndio atautumia kutoa nyimbo zake, yaani hizi suprise nazisubirijeeee
 
Kiba a.k.a fundi, mipango ya kufanya colable za kimataifa, mtindo wa pampa to pampa ndio atautumia kutoa nyimbo zake, yaani hizi suprise nazisubirijeeee

Oyooooo,kitu cha Bampa to Bampa...
Mtaa wa pili wanaugulia huko..
 
Uwiiiiiii atoto umenikumbusha mbali sana jamani!
Kweli King katuunganisha leo hii nimekua na furaha than ever!
Awwwwww.....

nami nilikuwa slow leaner hata sisomi alama za nyakati natania kumbe kitu kimetiki, "penzi ni kikohozi kulificha huliweziiiii"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…