Sanaaaa. Video very simple na anavo narrate utadhani anakwambia wewe unaetazama!
Tatizo Matola ni gogo la udi ukilichoma ndio linazidi kunukia.
Haters wanapata stress ukiwauliza sababu watakujibu basi tu.
Tatizo Matola ni gogo la udi ukilichoma ndio linazidi kunukia.
Haters wanapata stress ukiwauliza sababu watakujibu basi tu.
chuki zingine bwana!!! utafikiri wake wenza!! na ndio chuki walizonazo mpaka kwa kiba na kila anayemshabikia, mwehu sio lazima aokote makopo
Kanuni yangu ya mwaka huu 2015 sitaki ban bali wajinga wote nawaweka lockup for good forever.
Kanuni yangu ya mwaka huu 2015 sitaki ban bali wajinga wote nawaweka lockup for good forever.
Haha haaaa,naona umeshamtupiamo.
Hata hivyo hiyo ndiyo stahiki yake maana kazidi sasa.
Kanuni yangu ya mwaka huu 2015 sitaki ban bali wajinga wote nawaweka lockup for good forever.
Kanuni yangu ya mwaka huu 2015 sitaki ban bali wajinga wote nawaweka lockup for good forever.
Unayajua maisha magumu wewe?? Ahahahaha kukimbia majukumu ya kusomesha ndio characteristic ya kwanza ya maisha magumu hahahaha, ya pili ni kukiri hadharani mwanamke wako anakuzidi kipato kisa kazichangachanga akanunua paso hahaha
mkuu we ni jinsia gani?
U used to be a spy mkuu... U can guess !!
Teh teh ubuyu mtamu sana huuu ngoja nizihifadhi hizo screen shots for further use
nia aibu sana mwanaume kuongea mambo ya ubuyu,kua acha tabia za kishoga
Kula like mkuu.Nimeshangaa sana dume zima kusifia ubuyu mtamu!
:thumbup::thumbup::thumbup:
acha tabia za wanawake wa uswahilini wanaume halisi hawapo hivo
Una uhakika gani mi ni mwanaume?? we ni punguani nini??
eti ubuyu mtam hana hata aibu
unakana jinsia yako kwa ajili ya taarabu unazoleta humu,be a man wanaume halisi hawapo hivo