nami namkubali sana Ally
mama samira mzima?Baba samira Lugha ya malkia ngumu sana
haya mamii.....Mimi zaidi yako.
You're the next
mama samira mzima?
nimekumis sana
Haha haaaa,ujue nilitaka kumuambia hivyo hivyo?umetisha sana.
Mama mtoto ndiye anayemjua baba wa mtoto wake.
Haha haaaaa naona unataka kumtupia humo...
Nimecheka kwa kweli!!Ila kweli mama ndiye haswaa anayemjua baba wa mtoto!!Miss u!
Kuna huyu kenge naona amelazimisha na yeye nimtumbukize humu akate viuno vizuri.
Sisi wakongwe humu tunakujua ndomana unatutupia humo.. Ahahahaha ila mkuu usiniweke humo mi naenjoy sana drama zako
Aisee,naona kuna wengine humo ndani.Mimi pia itabidi nianze kufanya hii kitu maana kuna mijitu inakera sana humu.
Kama unaenjoy njoo na adabu tutakwenda sawa kama ustaarabu huwezi nitaupdate ignore list yangu malengo yangu mwaka huu 2015 hapa JF sitaki kupata bana nitalitumia ipasavyo folder la ignore list.
Heshima ni kitu cha bure wala haiuzwi.
Kama unaenjoy njoo na adabu tutakwenda sawa kama ustaarabu huwezi nitaupdate ignore list yangu malengo yangu mwaka huu 2015 hapa JF sitaki kupata bana nitalitumia ipasavyo folder la ignore list.
Heshima ni kitu cha bure wala haiuzwi.
Tshirt zipo chini ya Management ya Kiba mwenyewe kama unahitaji wasiliana nao.Sawa Matola lakini swali langu hujajibu bado.. T-shirt zitakuja lini??
Tshirt zipo chini ya Management ya Kiba mwenyewe kama unahitaji wasiliana nao.
Mimi sina haki ya kuprint Tshirt za msanii yoyote bila mikataba halali ya kibiashara na kisheria.
Natumaini nimekujibu vyema.
Tshirt zipo chini ya Management ya Kiba mwenyewe kama unahitaji wasiliana nao.
Mimi sina haki ya kuprint Tshirt za msanii yoyote bila mikataba halali ya kibiashara na kisheria.
Natumaini nimekujibu vyema.
Sasa mbona ulikua unaongea kama wewe ndio management yake??
Ni kwa nini jitu hulijui halikujui na hamjawahi hata kukutana popote hapa duniani ageuke kero kwako wakati selo zao zipo? Weka selo wajinga wote.
Mimi mwaka huu sitaki ban wasen.ge wote nawatupa selo for good naendelea na yangu kiroho safi tu.
Hasidi hana sababu nifahWewe ulitaka T-shirt au management?Kakujibu vyema kuhusu T-shirt full stop.
Hiyo ndio permanent solution, umeona huyo mjinga nilivyomtupa selo alivyokuwa anarukaruka kama maindi kwenye sufuria au mashine ya popcorn?Imekaa safi sana hii.Soon na mimi nitaanza kuitumia.Hasa January hii watu wana stress za maisha familia zinawashinda wanakuja kuzimalizia humu.
Kuna mjinga mjinga hapa naona atakua wa kwanza kumtupia humo.