wazawa
Senior Member
- Jan 29, 2013
- 184
- 58
Akiwa amejisifu kuwa alipumzika nje takribani miaka mitatu huku akiwa tayari ashafika level za international ikiwemo kile anakisifia sana kufanya Kolabo na R. Kelly (One8), bado amerudi ki-underground tena local kwa nyimbo zake na aina ya Tour anayoifanya Chekecha Tour na kama anajitambulisha tena nchi nzima na sio kwenda mbele zaidi pale alipopacha miaka mitatu nyuma!