Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
wazawa kiba kakuchekecha bado unataka tukucheketue?Akiwa amejisifu kuwa alipumzika nje takribani miaka mitatu huku akiwa tayari ashafika level za international ikiwemo kile anakisifia sana kufanya Kolabo na R. Kelly (One8), bado amerudi ki-underground tena local kwa nyimbo zake na aina ya Tour anayoifanya Chekecha Tour na kama anajitambulisha tena nchi nzima na sio kwenda mbele zaidi pale alipopacha miaka mitatu nyuma!
Last edited by a moderator: