🤣😄😁😁😂😂😂😂😂 kichaka kimekwenda na maji
Mtabiri mzuri lakini.Alitabiri timu za Tanzania itabaki timu moja tu kwenye Mashindano ya CAF.Huyo dogo hamnazo. Vitu vingine unakausha tu vinapita vyenyewe badala ya kujiaibisha
KamemponzaKamdomo....🤣🤣🤣
Bichwa utadhani sisimizi analazimisha kumeza pera.Bichwa kubwa mwili sindano.
PAKOME DAY,,, HII TIMU KUISHABIKIA INAHITAJI MOYO.
Anazimiaga yule,sababu kubwa ni mwili unaelemewa na uzito wa ndonga.Bichwa utadhani sisimizi analazimisha kumeza pera.
😆😂😂Anazimiaga yule,sababu kubwa ni mwili unaelemewa na uzito wa ndonga.
bichwa kama injini ya toyota Crown Majesta.