Algerian airline loses contact with plane carrying 110 passengers

Algerian airline loses contact with plane carrying 110 passengers

AJALI NDEGE ATR-72: Watu 48 wafa, 10 waumia mapema leo wakati ndege ya abiria iliposhindwa kutua uwanja wa ndege wa Mogong, Taiwan kufuatia hali mbaya ya hewa.
 
OMG. Hope kule hakuna Russian supported rebels and missiles.

Kuna baadhi ya duru zinahisi kuwa uhenda imedunguliwa na waasi (Tuareg) kule maeneo ya Mali ingawa wataalamu wa mambo ya anga wanasema uwezekano huo utakuwa mdogo sana kwani waasi wanaaminika kuwa hawana silaha za kuweza kudungua ndege iliyo juu kwa zaidi ya umbali wa futi 33,000 amabao ndege hiyo ilikuwa imeruka.

Ingawa kuna duru nyingine zimeainisha kuwa kuna uwezekano iliishiwa mafuta angani na hivyo kupelekea hilo amablo limetokea . Ila kwa uzoefu ndege hiyo isha fanya zaidi ya safari 30 za kimataifa kwenda Ulaya, Afrika, Mashariki ya kati.
Stay tunned....for more details.
 
Attachments

  • 7T-VKG-Air-Algrie-Boeing-737-800_PlanespottersNet_478255.jpg
    7T-VKG-Air-Algrie-Boeing-737-800_PlanespottersNet_478255.jpg
    52.1 KB · Views: 146
Pia kuna ndege nyingine ya Trans Asia ya china imeanguka na kuua zaidi ya abiria 40. BBC Swahili
 
Duuuuuh balaa!!! Kwenye kitabu cha Ufunuo pameandikwa nyakati za mwisho nzige wa chuma watawaangamiza wanadamu kuliko awali. Nzige wa chuma ni vyombo vya moto!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nani kakupigia hiyo ramli?
 
Kuna baadhi ya duru zinahisi kuwa uhenda imedunguliwa na waasi (Tuareg) kule maeneo ya Mali ingawa wataalamu wa mambo ya anga wanasema uwezekano huo utakuwa mdogo sana kwani waasi wanaaminika kuwa hawana silaha za kuweza kudungua ndege iliyo juu kwa zaidi ya umbali wa futi 33,000 amabao ndege hiyo ilikuwa imeruka.

Ingawa kuna duru nyingine zimeainisha kuwa kuna uwezekano iliishiwa mafuta angani na hivyo kupelekea hilo amablo limetokea . Ila kwa uzoefu ndege hiyo isha fanya zaidi ya safari 30 za kimataifa kwenda Ulaya, Afrika, Mashariki ya kati.
Stay tunned....for more details.
Mkuu hebu nisaidie kidogo hapo kwenye duru. Hilo neno lina maana gani?
 
ni kweli jamani?

imeanguka huko Niger.

http://rt.com/news/175264-algeria-plane-crash-ah5017/

[h=1]Air Algerie AH5017 crashes in Niger with 110 passengers and 6 crew - reports[/h] Published time: July 24, 2014 11:21
Edited time: July 24, 2014 12:00

algeria-plane-crash-ah5017.si.jpg
An Air Algerie Airbus (Image from wikipedia.org)

1.9K1.5K6

An Air Algerie flight carrying 110 passengers and six crew members disappeared from radar early on Thursday morning between Burkina Faso and Algeria. CCTV and Algerian Ennahar TV report it went down in Niger.
A spokeswoman for Spanish private airline company, Swiftair, confirmed that it had lost contact with one of its planes operated by Air Algerie on Thursday. The plane was an Air Algerie MD-83, flight AH5017.
"Air navigation services have lost contact with an Air Algerie plane Thursday flying from Ouagadougou to Algiers, 50 minutes after take-off,"the airline said.
Swiftair said that there had been “no contact” with the missing aircraft since.
French Transport Minister, Frederic Cuvillier, told reporters that it was “likely many” French passengers were on board the flight.
"There are 110 passengers and 6 crew traveling on the plane, of which four are pilots and two cabin crew," the Swiftair statement confirmed.
The six crew members are Spanish.
Burkina Faso’s transport minister confirmed to Reuters that the Air Algerie flight had asked to change course at 1:38 am GMT because of a storm.
Meanwhile, an Algerian aviation source, who wished to remain anonymous, told AFP that “the plane was not far from the Algerian frontier when the crew was asked to make a detour because of poor visibility and to prevent the risk of collision with another aircraft on the Algiers-Bamako route.”
 
Bado Air Force One

Wakikusikia wenyewe wenye nazo .... haya bana mie simo. Lina ulinzi wa kufa mtu kila sekunde kila dakika kila saa na kila siku.

Hilo dege linasifa zake adimu sana kwani hata kuingia kwenye anga zake tu kulibughudhi...inabidi ujipange miaka kadhaa kiteknologia na kiufundi.
 
Attachments

  • AF1-and-thunderbird7.jpg
    AF1-and-thunderbird7.jpg
    80.8 KB · Views: 130
  • air-force-one-nyc-03.jpg
    air-force-one-nyc-03.jpg
    20.2 KB · Views: 128
  • Thanks
Reactions: KUN
Duuuuuh balaa!!! Kwenye kitabu cha Ufunuo pameandikwa nyakati za mwisho nzige wa chuma watawaangamiza wanadamu kuliko awali. Nzige wa chuma ni vyombo vya moto!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nikumbushie huo mstari kwani na mimi nilikuwa nautafuta
 
Mkuu hebu nisaidie kidogo hapo kwenye duru. Hilo neno lina maana gani?

Ni kama vyanzo vya habari... mfano : duru za kisiasa, duru za kiuchumi, duru za ndani, n.k. , Lakini waweza ongeza maelezo zaidi kwa wale wajuzi wazuri wa kiswahili chetu pendwa.
 
Back
Top Bottom