Mie huo muda uloandika hapo sijaelewa mkuu..
Hamna utumbo wa namna hiiNikumbushie huo mstari kwani na mimi nilikuwa nautafuta
Nnimeisha apa kuwa kamwe sitapanda ndege yoyote inayomilikiwa na waarabu au yenye rubani muarabu/msomali
Hujauelewa kiaje....?? ki tz ?? au kiaje>>> "Swiftair said the aircraft took off from Burkina Faso at 1.17am local time and was supposed to land in Algiers at 5.10am local time but never reached its destination." hiyo ni kulingana na muda waliouweka Skynews.
Nikumbushie huo mstari kwani na mimi nilikuwa nautafuta
Wanataka tusahau mauaji ya wapalestina
Nikumbushie huo mstari kwani na mimi nilikuwa nautafuta
Wakimaanisha saa saba usiku na ingefika saa kumi na moja alfajiri?
daah, inatisha. Tumuombe mungu ifike na kutua salama huko inakoelekea
Kuna baadhi ya duru zinahisi kuwa uhenda imedunguliwa na waasi (Tuareg) kule maeneo ya Mali ingawa wataalamu wa mambo ya anga wanasema uwezekano huo utakuwa mdogo sana kwani waasi wanaaminika kuwa hawana silaha za kuweza kudungua ndege iliyo juu kwa zaidi ya umbali wa futi 33,000 amabao ndege hiyo ilikuwa imeruka.
Ingawa kuna duru nyingine zimeainisha kuwa kuna uwezekano iliishiwa mafuta angani na hivyo kupelekea hilo amablo limetokea . Ila kwa uzoefu ndege hiyo isha fanya zaidi ya safari 30 za kimataifa kwenda Ulaya, Afrika, Mashariki ya kati.
Stay tunned....for more details.