Ndo nani?
mwana mieleka maarufu wa bongo
Ww frank tumia akili nani kathulimiwa? Ajitokeze aseme? No evidence no right to speak. Hao wafanyakazi wake una uhakika gani hawalipwi kwa wakati? Serikali inadaiwa sembuse msama? Makampuni kibao makubwa hawalipwi kwa wakati hamyasemi mnamuona Msama.
Ungekuwa na akili timamu ungekaa kimya kuliko kuandika ujinga wako mtu mgonjwa badala ya kumpa pole unamsema ww unafikiria kwa kutumia Ma------.
Kajipange upya ndio urudi hapa nyoko... Weweeee
Mkurugenzi wa Msama Promotion,Alex Msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani Dodoma.
Pichani kulia ni mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve akimjulia hali akiwa amelazwa kwenye moja ya hospitali mjini humo.chanzo:clouds fm
Achana nae huyo,fuatilia tiba ya bro MsamaSio naropoka kwani huyo aliyetapeliwa au kadhulumiwa nani si ajitokeze na kama anadai kweli si afate sheria alipwe? Kajipange upya ndio uje tena.
Ww frank tumia akili nani kathulimiwa? Ajitokeze aseme? No evidence no right to speak. Hao wafanyakazi wake una uhakika gani hawalipwi kwa wakati? Serikali inadaiwa sembuse msama? Makampuni kibao makubwa hawalipwi kwa wakati hamyasemi mnamuona Msama.
Ungekuwa na akili timamu ungekaa kimya kuliko kuandika ujinga wako mtu mgonjwa badala ya kumpa pole unamsema ww unafikiria kwa kutumia Ma------.
Kajipange upya ndio urudi hapa nyoko... Weweeee
Sio naropoka kwani huyo aliyetapeliwa au kadhulumiwa nani si ajitokeze na kama anadai kweli si afate sheria alipwe? Kajipange upya ndio uje tena.
Wewe ndio hauna akili kabisa tena empty set na tena usinifundishe uoga wewe,unataka kuniambia kwa vile ni mgonjwa ndio dhuluma na unyonyaji wake vinafutika?hao anaowadhulumu na kuwanyonya unafahamu maumivu yao au unaropoka na upo kwenye Payrolll yake?
Ww frank tumia akili nani kathulimiwa? Ajitokeze aseme? No evidence no right to speak. Hao wafanyakazi wake una uhakika gani hawalipwi kwa wakati? Serikali inadaiwa sembuse msama? Makampuni kibao makubwa hawalipwi kwa wakati hamyasemi mnamuona Msama.
Ungekuwa na akili timamu ungekaa kimya kuliko kuandika ujinga wako mtu mgonjwa badala ya kumpa pole unamsema ww unafikiria kwa kutumia Ma------.
Kajipange upya ndio urudi hapa nyoko... Weweeee
mkurugenzi wa msama promotion,alex msama amepata ajali baada ya gari alilokuwa akisafiria kupinduka wakati akielekea mkoani dodoma.
Pichani kulia ni mwenyekiti wa bongo movie, steve akimjulia hali akiwa amelazwa kwenye moja ya hospitali mjini humo.chanzo:clouds fm