Alex Masawe akamatwa na interpol

Alex Masawe akamatwa na interpol

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
Ni huko Afrika ya kusini, alikuwa akiishi ndani ya boti.
Kurudishwa nchini wakati wowote kuunganiswa kwenye kesi na papa msofe, pamona na keshi nyingen.
 
Unafikiri hawajui aliko! Tumezea kusikia kakamatwa mara dubai mara SA
 
Anaishi kwenye boti? Dah!
Hela zingine karaha tu
 
mtoa mada asante kwa ujumbe... ila wakati mwingine tulia, relax ndio andika kwa lugha fasaha..

thanks anyway!!
 
kwani polisi walimwachilia kipindi kile? hata akiletwa atatoloka tena. mia
 
Ni huko Afrika ya kusini, alikuwa akiishi ndani ya boti.
Kurudishwa nchini wakati wowote kuunganiswa kwenye kesi na papa msofe, pamona na keshi nyingen.

Mkuu hivi hizi story za vijiweni lazima mzilete hapa JFs?! Alex masawe yuko town longtime tena anapenda sana kufanya shopping Mlimani city na Shoppers plaza n mikocheni au watu hawamjui?
 
Ukishatoka nje ya Tanzania na ukaishi very low prifile life hawakukamati kamwe!labda uwe misifa unaonekana media kila siku huko uendako ndio watakubaini!angalia Kishimba,na wengineo waliokimbia TZ hadi leo wanatanua tu!Kishimba alisakwa sana kuunganishwa kesi mauaji ya meli yake Mwanza!!hata huyo Alex Massawe hawatamkamata!pia kuna yule jamaa King wa Drugs(mzigo wake alikamatwa na mtoto wa Liumba) mbona nae wanamshindwa na tunasikia anaishi SA na huwa anakuja hapa na anaonana na mawaziri kupanga mipango mingi tu ya biashara?tuna sikia alikuja hadi Arusha na akaonana na waziri mmoja wa JK!unafiki tu umewajaa!hawana lolote hao!
 
Huyu kaka amewaondoa wamama wengi sana hasa waalim kwa kuwaambukiza maradhi kutokana na pesa yake.
 
Jukwaa kulimopostiwa hii habari ndio inanishtua kidogo.
 
Back
Top Bottom