Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Nilikuwa nikifuatilia kipindi cha nyundo ya baruani muhuza kilichokuwa kikirushwa na azam TV leo jumapili saa 4 asubuhi.
Huyu jamaa kwa sasa anaishi marekani na alikuwa ni mchezaji wa mpira hapa nchini .
Huko marekani anamiliki kampuni yake ya vifaa vya michezo hasa kutengeneza jezi. Na kampuni hii ya kajumulo imetapakaa nchi takribani 85 duniani kama alivyokuwa anajinasibu.
Baruani alikuwa akimuuliza baadhi ya maswali jamaa anajibu shortcuts sana alafu kwa dharau sana.
Yaani ni mtu wa kupenda kunyeyekewa sana na kuwaona watanzania wavivu sanaaa.
Jamaa anaongea kiswahili kama vile hakijui eti. Anaongea kama wamarekani hivi.
You know you know zimekuwa nyingi sanaaa.
Mwenye CV ya huyu jamaa anipe niione.
Sent using Jamii Forums mobile app