Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
wewe hujamsoma huyuUnafananisha tena pombe kwa mfano wa Unga? huo mfanoni irrelevant hauko relevant hivi kichwani umejaza nini mkuu. Shida sio kuichukia pombe, wala mimi sijazungumzia hayo, Usichanganye file kijana, Hoja yangu ni huwezi sema Pombe ndo chanzo cha umaskini huko kwa nduguzo mi nakwambia Ujinga wao ndo chanzo cha umaskini wao" Unajibu takataka nyingi tu unahama hama uwe unasoma kwanza ndo ujibu, soma uelewe sio kukurupuka ku reply ujinga hauto kutoka we mwanamke


...umemchoma na lile swali la "wewe usiekunywa pombe umeshakua tajiri?"....ndomana povu linamtoka
