Album ya Diamond Vs Album Ya Harmonize Ndani ya AudioMack

Album ya Diamond Vs Album Ya Harmonize Ndani ya AudioMack

Konde boy alikurupuka kwenye kolabo zake na mastar kwenye album yake kama Morgan Heritage (malaika) na Burnaboy (your body) hata Yemi Alade (pain). Mpaka sasa hata moja haipo kwenye top 10 yoyoye. Hazichezeki hizo ngoma. Matokeo yake Konde kaishia ku promote Bedroom !!!

Hizo huwezi linganisha na za kwenye Tandale kama Halleluja (morgan) , Waka (Rick Ross), African Beauty (Omarion), Fire (Tiwa Savage), Mary You (Neyo), Nana (Flavour)...Hizi zilipanda chati haraka album ilipotoka !!!

Kwa hiyo kwa nyimbo mojamoja Tandale ina nyimbo bora kuliko Afro East !!!
Hivi album ya domo kuna wimbo wa peke yake?? Mh
 
Wabongo audiomack mmeijua juzi tu hapa, Harmonize ametoa hiyo album kipindi wabongo wameanza kuijua audiomack so kucompare na hiyo album ya nyuma sana sio fair. Labda tungelinganisha A Boy from Tandale na Cinderella au unaonaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
A boy from tandale imewekwa baada ya mwaka mmoja kutamba kwenye platform zingine then nashangaa hawa 5M streams tu zinawakereketa yaani ni sawa chungwa limeisha utamu ila watu wanaendelea kunyonya mchuzu

N.B A boy from tandale ilikua uploaded Dec mwak jana

Wakuelewa wataelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza naisikiliza Bedroom ya Harmo Pale mwanzoni mwa nyimbo Nilijua ni More Than a Friend ya P-Square
Konde boy alikurupuka kwenye kolabo zake na mastar kwenye album yake kama Morgan Heritage (malaika) na Burnaboy (your body) hata Yemi Alade (pain). Mpaka sasa hata moja haipo kwenye top 10 yoyoye. Hazichezeki hizo ngoma. Matokeo yake Konde kaishia ku promote Bedroom !!!

Hizo huwezi linganisha na za kwenye Tandale kama Halleluja (morgan) , Waka (Rick Ross), African Beauty (Omarion), Fire (Tiwa Savage), Mary You (Neyo), Nana (Flavour)...Hizi zilipanda chati haraka album ilipotoka !!!

Kwa hiyo kwa nyimbo mojamoja Tandale ina nyimbo bora kuliko Afro East !!!
 
team chuki daily wanatapatapa kupata upenyo angalau wapate cha kusema bt dah! kila kona wananasa..

kubalini tu chai jaba hamumuwez hata mkiungana
 
Back
Top Bottom