True dat.Konde boy alikurupuka kwenye kolabo zake na mastar kwenye album yake kama Morgan Heritage (malaika) na Burnaboy (your body) hata Yemi Alade (pain). Mpaka sasa hata moja haipo kwenye top 10 yoyoye. Hazichezeki hizo ngoma. Matokeo yake Konde kaishia ku promote Bedroom !!!
Hizo huwezi linganisha na za kwenye Tandale kama Halleluja (morgan) , Waka (Rick Ross), African Beauty (Omarion), Fire (Tiwa Savage), Mary You (Neyo), Nana (Flavour)...Hizi zilipanda chati haraka album ilipotoka !!!
Kwa hiyo kwa nyimbo mojamoja Tandale ina nyimbo bora kuliko Afro East !!!
SENSE....👍kama wote wamo na wote ni wabongo ni vizuri,kikubwa tuwape saport ya kutosha hawa vijana ni wapambanaji sana
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Alaa kumbe?
Mbona ipo wazi kuwa hata CNN walisema harmonize ndio msanii namba moja Africa
Hakuna wa kumfikia akifuatiwa na kingkibakuli.
Nadhani hadi hapo umeridhika au sio Spartacus ze mnyama mkali?
Kwamba halelujah inachezeka?..msipeperushe mada TUZUNGUMZIE HIZO STREAMS.True dat.
We jamaa unapata tabu sio kidogo kumchukia mondi.yaani unafananisha albam ya mond ambayo nyimbo karibu zote zilikuwa zinajulikana na albam mpya???¿?? Pole sana ndugu yangu sio kwa tabu hizo kutwa kufuatilia mondi amefeli wapi ili upoze maumivu yakoA Boy From Tandale Kwa miaka miwili Stream 5.48
Afro East Ndani ya Mwezi Mmoja Stream 5.01
Ni kwamba yale Marobot ya Youtube uku uwa hayapenyi au Album ya Diamond ilikua Mbovu,? Ya konde Boy ni Moto
Tukae humoView attachment 1426132
Ila nyie WCB kulinganisha ZUKU na Nandy sio chuki???hizo ni takwimu tu msimfanye huyo mtu wenu munguWe jamaa unapata tabu sio kidogo kumchukia mondi.yaani unafananisha albam ya mond ambayo nyimbo karibu zote zilikuwa zinajulikana na albam mpya???¿?? Pole sana ndugu yangu sio kwa tabu hizo kutwa kufuatilia mondi amefeli wapi ili upoze maumivu yako
MKUU KUNA WATU WAMEANZA KUJUA JUZI JUZI, KUNA WATU WAMEPEWA SIMU NA SHEMEJI ZAO MWAKA HUU MWANZONI NDO WANAOWEZA LETA TAKWIMU KAMA HIZIWabongo audiomack mmeijua juzi tu hapa, Harmonize ametoa hiyo album kipindi wabongo wameanza kuijua audiomack so kucompare na hiyo album ya nyuma sana sio fair. Labda tungelinganisha A Boy from Tandale na Cinderella au unaonaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp mkuu unampenda Mond?We jamaa unapata tabu sio kidogo kumchukia mondi.yaani unafananisha albam ya mond ambayo nyimbo karibu zote zilikuwa zinajulikana na albam mpya???¿?? Pole sana ndugu yangu sio kwa tabu hizo kutwa kufuatilia mondi amefeli wapi ili upoze maumivu yako
Acha chuki ndugu yangu....Hii takataka inayotoka tandale usifananishe na album ya Konde boy
Sent using Jamii Forums mobile app