Albert Msando sio raia wa Tanzania?

Albert Msando sio raia wa Tanzania?

Mwanasheria wa kijana msaliti na mwenyekitu wa tawi la ccm kwa jina ACT amehojiwa jana kwa saa tano juu ya uraia wake.

maoni yangu ndoa ya ACT iko mashakani.

source: mtanzania
 
Hahahaha.....CHADEMA wanapiga sarakasi kwenye tiles huku wakiwa na taulo...ZZK kawashika pabaya...mtatoa matamko ya hao vibara...hao mamluki mpaka basi.
 
Taarifa kutoka uhamiaji zinasema kuwa mipango yote imesukwa na akina Mbowe baada ya kijana huyu kujiandaa kugombea ubunge moshi vijijini alikojienga sana kisiasa kupitia chama kipya.
 
KIJANA MSALITI! MPAKA AHAKIKISHE AMEIBOMOA CDM NA KULE SI WANAMBANA AMEPOKEA MLUNGULA NA MATOKEO/KAZI TARAJIWA HAIJAKAMILIKA dah!
 
the timing is doubtful,msando ni mtu wao ccm,kuna diversion inataka kufanyika,labda ya yule waziri aliyemwaga mchozi!au kuendelea kutikisa cdm!
 
Taarifa kutoka uhamiaji zinasema kuwa mipango yote imesukwa na akina Mbowe baada ya kijana huyu kujiandaa kugombea ubunge moshi vijijini alikojienga sana kisiasa kupitia chama kipya.
wakati wakina mbowe wana kesi za kutosha za kuzushiwa kwenye mahakama za ccm
 
Tumtendee haki kijana anafanya kazi kutokana taaluma yake na kama si raia idara ya uhamiaji itajibu on time na tusikubali kucheza siasa za kuzimu tuwe na vision na si siasa za matusi na kukashfiana siasa za upepo na kuwa majeruhi wa fikira. UTU wako ni muhimu kuliko yote usijizalilishe kwa kukosa UTU kisa unatumia ID fake MUNGU uangalia moyo wa binadamu so ni vizuri tukawa watu wenye fikira muruha kwa mawazo yetu tusipende kuhumu pale pa kawaida hata pa kutumia elimu ya UPE unapata jibu MUNGU atuongoze katika hekima, maarifa, busara, akili na uwezo wa fikira muruha.
 
Taarifa kutoka uhamiaji zinasema kuwa mipango yote imesukwa na akina Mbowe baada ya kijana huyu kujiandaa kugombea ubunge moshi vijijini alikojienga sana kisiasa kupitia chama kipya.
teh teh, haa haa kwa hiyo kumbe mbowe ana mamlaka na uhamiaji?
 
Albert Msando ni diwani wa chadema, kata ya Mabogini, Moshi vijijini!!!

Nadhani hata chadema inabidi wahojiwe juu ya hili!!!
 
Taarifa kutoka uhamiaji zinasema kuwa mipango yote imesukwa na akina Mbowe baada ya kijana huyu kujiandaa kugombea ubunge moshi vijijini alikojienga sana kisiasa kupitia chama kipya.

Moshi vijijini ni jimbo la CCM sio rahisi upinzani kupenya.
 
Alipataje sifa za kujiunga na CHADEMA ilhali sio raia wa Tanzania? Kumbe CHADEMA hawako makini kabisa.
 
Back
Top Bottom