Albert Msando sio raia wa Tanzania?

Albert Msando sio raia wa Tanzania?

huyu wakili kichwa sana,na Uchaga wake wote lkn hakutaka kuendekeza Ukanda kasimamia haki.
 
Tuhuma za kijinga hizi. Kwa lipi hasa mpaka iwe leo ndo waspeculate juu ya uraia wa huyu mwanasheria?
 
Tuhuma za kijinga hizi. Kwa lipi hasa mpaka iwe leo ndo waspeculate juu ya uraia wa huyu mwanasheria?

Tuna mjua vizuri kakulia hapo mashamba ya miwa moshi na kasoma UD sheria walikuwa wapi siku zote na pia ni Diwani.
 
Tuna mjua vizuri kakulia hapo mashamba ya miwa moshi na kasoma UD sheria walikuwa wapi siku zote na pia ni Diwani.
Kukulia na kusoma UD sheria sio sifa za kuwa Mtanzania. Muuaji kutokubainika siku nyingi hailiondoi kosa la mauaji. Ni mtazamo wangu kufuatia sheria zetu za uraia.
 
Hii nchi ni ya kila mmoja haina mwenyewe ati. Hivi unajua pressure ya dual citizenship msingi wake ni nini? Tafakari.
 
Mada za kizushi kama hizi ni za kupuuzia!

kama huelewi mada unaipotezea au unaomba ueleweshwe!

mtoa mada katoa swali kutokana na facebook status ya msando mwenyewe ambayo imetoa maelezo yote ya nini kimempata .... acha dharau kwa mtoa mada bila sababu
 
Mkuu kuna mijitu inakurupuka sana humu jamvini!
 
kama huelewi mada unaipotezea au unaomba ueleweshwe!

mtoa mada katoa swali kutokana na facebook status ya msando mwenyewe ambayo imetoa maelezo yote ya nini kimempata .... acha dharau kwa mtoa mada bila sababu

mtoa mada angeweka source sio kuleta habari kihivi hivi tu, sio wote tunaofuatilia social networks
 
Sidhani kama hawajui kwamba yeye ni Mtanzania kindakikindaki bali kutakua kuna jambo jingine wanamtafuta! Hii kitu nikidhani wanasumbuliwa Kagera na Kigoma kumbe sasa hata Kilimanjaro imeanza?! Ajabu hawahangaiki na Matajiri wa Kiarabu na Kisomali wanao hujumu Taifa kwa kupora wanavyotaka na kuchangia CCM makombo!
 
Msando kama anamuunga ZZK mkono atakuwa amepoteza uelekeo. Presidency mongers hao wanafahamika kwani wanaamini ndoto zao kutimia ni kuingia Ikulu. Ni matamanio mazuri yasiyoweza kufikika
 
Back
Top Bottom