Albert Msando sio raia wa Tanzania?

Albert Msando sio raia wa Tanzania?

Msando anafahamu vizuri kuwa tuhuma zozote huthibitishwa ama kubatilika kwa misingi ya sheria ya ushahidi na kuwa jf siyo sehemu ya kuweka ushahidi wake kujitetea.facebook pia si mahali mwafaka.
Pelekeni ushahidi makini kwenye vyombo mwafaka kwa wakati
 
Kazaliwa mabogini, kakulia mabogini..!! au mabogini sio tz..? And why they didnt rise this wakati akitafuta passport..!! caz im sure ana passport ya tanzania..!! dah wadanganyika kwa kupika porojo...hatarii
 
Hahahaha vingine vinachekesha unajua kumtafutia mtu sababu huwa inakuwa kazi sana hadi kufikia mahali ambapo hata haiingii akiliani
Nakumbuka hata Jenerali Ulimwengu waliwahi kumfanyia hivyo
Husein Bashe nae alifanyiwa hivyo.
Zote hizi ni mfa maji huwa haachi kutapatapa,
U
Hivi uraia wa mtanzania unaanzia wapi hasa?ikiwa mtu kazaliwa hapa kakulia hapa na kasoma na bado kazi anafanya hapa, tangu nimemfahamu Beto sijawahi sikia anaye hata baba mkubwa nje ya nchi.
Kama ni sababu tumtafutie zingine.
Iliwahi kutamkwa hivi:
……Mabishano ya hoja yanaendelea kati yamawakili wa Chadema vs Msando, Lissu anaomba kwa interest ya public sasa kiswahili kitumike

Msando amepanic sana, Lissu aliomba kiswahili kitumike kwa public interest.Msando alipoulizwa akaanza kuongea. Jaji akamuuliza nimekuruhusu?Watu wakashangilia

Msando kapoteza umakini kutokana na jaji kuamua kutumia kiswahili na yeye kinamsumbua, watu wameshangilia

Wakili msomi mtanzania, hapa anayo hoja ya kujibu!
 
Kwa hiyo, wakikumkuta siyo raia wa Tanzania bali ni raia wa, kwa mfano, Colombia watamfanyaje? Watamrudisha huko?
 
Raia wa Tanzania asie kua mzalendo ni sawa na mhamiaji haramu! May be Uhamiaji wako sahihi katika hili ...

yawezekana kweli kazaliwa tz na kasoma tz. je wazazi wake walikuwepo tz siku inapata uhuru? kama walikuwepo basi halina shaka yeye ni mtz lakini kama wazazi wake hawakuwepo ndani ya ardhi ya tz wakati wa uhuru na hawakuwahi kuomba uraia basi SIYO RAIA WA TANZANIA. Kuzaliwa na kusoma tz haikufanyi wewe kuwa mtanzania
 
Hili swala la Msando ni la kinafiki tu.....kuna spinning za kishamba kweli.....kabisaaa watu wanajadili uraia wa Msando? .......WTF?
 
Huyu atakuwa Mmexico, si anaijiita Elchapo, wanatoka ukoo mmoja na yule drug dealer maarufu aliyekamatwa wa Mexico
 
Ahaa!!! Msitusumbue hao madogo wasaliti tumeishawafukuza kwenye chama letu pendwa
 
Kazaliwa mabogini, kakulia mabogini..!! au mabogini sio tz..? And why they didnt rise this wakati akitafuta passport..!! caz im sure ana passport ya tanzania..!! dah wadanganyika kwa kupika porojo...hatarii

Mimi nadhani wanachunguza uhalali wa uraia wake sasa yeye ndio adhibitishe hayo kama kweli ni raia just simple like that, kuwa na passport, birth certificate au document nyingine bado haitoshi pasipo shaka kuthibitisha uhalali wa uraia wa mtu sababu kuna wanaigeria wengi tu wana birth certificate na passport za nchi nyingine, naamini Msando ni mtanzania sasa yeye cha kufanya ni kuthibitisha tu hilo kwa mamlaka husika.
 
yawezekana kweli kazaliwa tz na kasoma tz. je wazazi wake walikuwepo tz siku inapata uhuru? kama walikuwepo basi halina shaka yeye ni mtz lakini kama wazazi wake hawakuwepo ndani ya ardhi ya tz wakati wa uhuru na hawakuwahi kuomba uraia basi SIYO RAIA WA TANZANIA. Kuzaliwa na kusoma tz haikufanyi wewe kuwa mtanzania

Kwani Tz ilipata uhuru tarehe ngapi , kutoka koloni gani
 
Mimi nadhani wanachunguza uhalali wa uraia wake sasa yeye ndio adhibitishe hayo kama kweli ni raia just simple like that, kuwa na passport, birth certificate au document nyingine bado haitoshi pasipo shaka kuthibitisha uhalali wa uraia wa mtu sababu kuna wanaigeria wengi tu wana birth certificate na passport za nchi nyingine, naamini Msando ni mtanzania sasa yeye cha kufanya ni kuthibitisha tu hilo kwa mamlaka husika.

kama docs hizo sio kigezo cha ushahidi wazazi kama wapo wakaulizwe.
Ukiomba pass kuna sehemu ya fomu unajaza mtu aliyekuwepo au anafahamu ulipozaliwa.anadeclare
 
wakili huyu maarufu ameshutumiwa kuwa sio raia wa tanzania.wazazi na ndugu zake wahojiwa kuhusu suala hilo.

=======updates =======
haya makitu ya hwa jamaaa hata huwa siyafuatiliiiiii .................................umeleta hii kitu so what.......................................?,

zitto ameka ili iweje
 
Alipataje sifa za kujiunga na CHADEMA ilhali sio raia wa Tanzania? Kumbe CHADEMA hawako makini kabisa.

Inashangaza sana Kama ameweza kusomea pesa za walipa kodi wa tanzania huku akiwa sio raia serikali ya CCM kweli ni dhaifu, hata asiye raia haiwezi kumbaini
 
Iliwahi kutamkwa hivi:

Wakili msomi mtanzania, hapa anayo hoja ya kujibu!

huu usanii mwingine unachekesha .... eti beto hajui kiswahili au kiswahili kinamtatiza!

tafuteni hadithi nyingine!

A. CITIZENSHIP BY BIRTH
Any person born in the United Republic on or after Union day is deemed to be a citizen of theUnited Republicifat the time of his birth one of his parents is or was a citizen of United Republic of Tanzania.
B. CITIZENSHIP BY DESCENT:
Any person born outside the United Republic on or after Union day is deemed to be a citizen of the United Republic by descent if one of his parents is a citizen of the United Republic of Tanzania by birth or naturalization.

Immigration Services Department of United Republic of Tanzania

Tanzanian nationality law - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Back
Top Bottom