Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Kama ukitegemea ukute ushahidi wa moja kwa moja wa mauaji basi umeula wa chuya.Hakuna tuhuma za moja kwa moja unaweza kuihusisha Marekani dhidi ya mauaji ya Saddam Hussein na Gaddafi....,
1.Saddam Hussein alikabidhiwa kwenye utawala wa Iraq na kuhukumiwa na kunyo gwa kwa mauaji ya Wakurdi 144.
2.Gaddafi aliuwawa na waasi waliokuwa na hasira dhidi ya utawala wake.
Upo hapo bwana mdogo...????
.....lete swali lingine......
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisingizio cha majeshi ya marekani kuingia iraq ni hizo silaha zenye sumu. Bush na Blair walifanya kazi pamoja kuhakikisha Saddam anakamatwa na hatimaye kuuwawa.
Obama alikiri kuhusika na kifo cha Ghaddaffi na akasema anajutia kuhusika kwake.