Albert Msando awalima Wamarekani barua, awaambia waache 'double standards' kwa hoja nzito

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Nimeambatanisha barua ambayo Wakili mwenye uwezo mkubwa kwenye sheria za kimataifa Ndg Msando Alberto kawalima ubalozi wa Marekani. Ni dhahiri katoa hoja nzito ambazo hazitajibiwa zaidi ya povu.

Msando.JPG
 

Attachments

  • Letter to the American Embassy.pdf
    210.8 KB · Views: 9
Ndugu zangu,

Nimeambatanisha barua ambayo Wakili mwenye uwezo mkubwa kwenye sheria za kimataifa Ndg.Albert Msando kawalima ubalozi wa marekani. Ni dhahiri katoa hoja nzito ambazo hazitajibiwa zaidi ya povu.
Muwe na nidhamu basi japo kidogo. Yaani mnaona kabisa viongozi wa nchi wapo kimya wakitafakari ninyi mnakuja na matamko ya akina sijui Sandu eti kawajibu Marekani??? Mna vichaa au?
 
Back
Top Bottom