Albert Msando apotoka tena

wanasheria na ubunge/udiwani ni majanga ndo maana US huruhusiwi kutumikia hivi vyote kwa wakati mmoja!
 

SUMLEY,

1:Wanachama wa CHADEMA wanapewa fursa ya kuijua katiba na itikadi ya Chama chao kabla hawajajiunga na ndiyo maana wanaulizwa kama wamekubaliana na itikadi.Inachekesha leo mtu unaemtetea eti kupitia kazi yake na wateja wake ya kuvunja kanuni,taratibu na katiba ya Chama ndio njia sahihi na fursa ya wanachama kuijui katiba ya chama chao.Hapa hakuna hoja and i really doubt the intellectual capacity of the so called "wenye akili kubwa".Kweli? Is this the best they ca do?Fursa ya kuijua katiba? Tusijadiliane kama vile tunaamua ugomvi wa Bar.Tujadili maturely with facts.Tuache hisia na matamanio

2:Kujua vizuri makosa?Yaani katika kufundisha watu kujua vizuri makosa unawafundisha kwa njia ya kuvunja kanuni,taratibu na katiba kama walivyofanya hawa wateja na Mwanasheria wake Diwani Albert Msando,Kiongozi wa CHADEMA pale Serena Hotel alipoitisha tamko la upotoshaji wa maamuzi ya kamati kuu ya chama chake dhidi ya watuhumiwa waliotukana viongozi,waliojaribu kukivunja chama kwa kukigawa kuendana na matamanio ya Steven Wassira 'CHADEMA kitasambaratika kabla ya Uchaguzi mkuu"?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu asante sana. Maneno ya busara sana umesema. Waafrika wengi tunatumia huu utetezi tunapoona mambo yameharibika. Mtu analia eti alijiunga na chama tangu akiwa na miaka 16! So what! Ndio uachiwe uharibu tu....
 

Unasema Chadema haijawahi kukurupuka, waliposema Tume ya mabadilko ya katiba haina weledi na wakamtaka Prof Baregu ajiuzuru ilikwa siyo kukurupuka? Mbona baada ya tume kutoa rasimu ya katiba Chadema ndio wamekua wa kwanza kuisifia? Acha ushabiki jenga hoja zenye mashiko!
 
Yaani nyie CHADEMA mnakera sana siku hizi.

Why don't y'all just go away for sometime. Just take time out and disappear from the face of the earth and then come back after a month or two.

Miafrika Ndivyo Tulivyo
 

Wanazi wa Chadema wanashinikiza Msando apokonywe kadi ya uanachama.

Kadi za Chadema zimekuwa kama zawadi za Christmas, atakayemfurahisha "Santa" ndiye atakayepewa.
 

Chadema inapaswa kujivunia kuwa na vijana kama Msando.

Hapa CCM ina jambo la kujifunza.

Cc Ritz VUTA-NKUVUTE Ng'wamapalala
 
Last edited by a moderator:
Chadema inapaswa kujivunia kuwa na vijana kama Msando.

Hapa CCM ina jambo la kujifunza.

Cc Ritz VUTA-NKUVUTE Ng'wamapalala

We know what is good for us!Kama tunatakiwa kujivunia vijana hao si ndio ungekasirika kabisa maana misingi ya kilaghai unayoisema kila siku inakua imevunjwa ndani ya CHADEMA na hivyo CCM mngekosa hoja?

Acha unafiki
 
Last edited by a moderator:

Ni ujinga uliopitiliza kukubali watanzania warudishwe nyuma miaka 18 yaani turudie siasa za kina Lamwai na kina mrema hapana.Msaliti lazima achape LAPA bila huruma.
 
Hawa mamluki watoswe tena haraka,wanaleta ujuaji ambao hauna tija kwao.hivi wanang'ang'ania nini cdm ili hali wanacdm hatuwataki? wao si wanapendwa magambani! waende huko cdm si kichaka cha wanafiki na mamluki.
 

Mdogo wangu kwanza wewe unapaswa kujitibia hiyo identity crisis uliyonayo. Pili sijawahi kuficha ukaribu wangu na Zitto. Ni wewe ndiye unayeshindwa kujitambulisha kama mfuasi mkubwa wa genge la Mbowe na mdau wake wa mud Dr Slaa na kuwa wewe CHADEMA ni chama cha nyumbani ambacho kinapaswa kulindwa kuingia mikononi mwa wakuja ambao kwenu ninyi wao wapo kwa ajili ya kutumika tu na sio kuongoza chama. Tatu, nadhani kama unafiki wewe ndiye sura ya unafiki katika siasa za CHADEMA na ndizo unazitegemea kujenga nafasi yako ndani ya chama pamoja na uchaga wako ukiamini kuwa CHADEMA ambao unaamini ndio asset kubwa kwako kisiasa ndani ya CHADEMA. Angalao mimi ni msaidizi wa Dr Salim kama unavyosema lakini wewe ni mpambe wa Mama Josephine aka mwenza wa Dr Slaa. Angalao hata ungekuwa Msaidizi wa Dr Slaa mwenyewe ungeweza kuwa na uhalali wa kuhoji kazi yangu ambayo wengi wenu mnaiotea ndoto. Kama mlizoea kutengeneza uongo na watu wakawaangalia tu huku wakiamini busara ya kukaa kimya ingeliweza kuokoa chama, hapa mlipofika mmepoteza nguvu hiyo. Ni tit for tat inakuja soon....
 

msando amekuwa msando kweli tulitegemea atuwakilishe hapo kikijini lakinu udiwani tu ameshakuwa mroho wa madaraka je ukimpa ubunge sindio balaa kabsa,
kamati ya siasa hapo moshi ipitie katba ya chadema iangalie hatua za kuchukua maana moja ya masharti ya mwanachama ni kukitetea chama na si vinginevyo
 
Kweli we kianzi,hicho kiswahili umejifunzia mombasa,kwa hiyo kama haraka ni 'kitu' kwenda speed/kasi isiyo ya kawaida hata gari likipita speed au ndege au jiwe tunasema linaharaka,rudi shule we kilaza ukasome tena kiswahili..
 
Shauku?Unamaanisha kwamba tuendeshe siasa kwa kukidhi shauku au hamu ya/za watu?
Hivi wewe unafikiria malengo ya kuwepo kwa siasa katika jamii ni nini?. Hufahamu kama siasa ni kuwatumikia wananchi na katika siasa, matakwa na shauku ya wananchi katika mstakabali wa maisha yao ndiyo kigezo cha kwanza na pia ndiyo nguzo kuu katika kutimiza malengo ya kisiasa kwa wanasiasa makini.

Katika siasa endelevu, huwezi kukuta wanasiasa wanakuwa out of touch with society na wakaendelea kuwepo active katika uwanja wa siasa.

out of touch politician with society takes them out of politics kwa sababu kazi ya wanasiasa ni kuwatumikia wananchi.

Yaani ukiuke taratibu na kanuni kwa kisingizio cha kutimiza shauku za watu?Hii ni kichekesho.Hivi kwa fikra hizi kweli tutajenga taifa kubwa ? Tunatengeneza taifa la mihemko.Quick fixing style of leadership.
Taratibu na kanuni zinazokuwa nje ya matakwa na shauku za wananchi hazifai kuwa ndiyo kipimo cha kuwatumikia wananchi.

Si ndiyo nyie kila siku mnasema nguvu na mamlaka ya umma!. Sasa utawezaje kuzikumbatia bila kufanya kile umma unapenda kukifanya kwa mstakabali wake.

Hebu niambie, kanuni, taratibu na maadili gani yamevunjwa kwa "kisingizio" cha kutimiza shauku na matamanio ya wananchi kwa wakili wa Mh. Zitto kuongea na wanachama kupitia vyombo vya habari wakati wengine wanaongea na wanachama kupitia majukwaa ya nje ya siasa.

Tunatengeneza mfumo unaofanya kazi kwa style ya Viagra.No offence! Eti watu wana Shauku ya kusikia?
Hufahamu kama mojawapo ya kazi za wanasiasa ni kuongoza katika kutatua changamoto za muda mfupi na mrefu. Ndiyo maana Mwanasiasa Mwingereza aitwae Harold Wilson aliwahi kusema 'a week is a long time in politics' na kutokana na hivyo, vyama vya siasa ambavyo ni makini vinatumia pesa nyingi kwenye polls and surveys for political and social trends katika kujiandaa ili kukabiliana na matukio ambayo mengine yanahitaji style ya viagra katika kukabiliana nayo.

Hiyo style ya viagra ndiyo hiyo hiyo ambayo viongozi waandamizi wa CHADEMA kila mara huwa wanakuja Jf kutoa clarification kwa baadhi ya mambo yanayoibuka hapa JF kuhusu CHADEMA.

Kila jambo katika jamii yenye misingi ya kidemokrasia pana huwa ni debatable.

Unapoona baadhi ya watu au viongozi hawataki jamii nyingine kufungua mdomo ili kutoa kile inachofikiri huku wao wakijipa uhuru wa kufanya hivyo, kwa consensus za kidemokrasia, huo unaitwa ni udikteta unaochagizwa na dictatorial mentality.

Hatuongelei hapa nchi ya kufikirika ambayo ni debatable na hata demokrasia na udikteta utakuwa debatable. Tunaongelea hapa nchi na taasisi ambazo zimejengwa katika misingi iliyokubaliwa kikatiba lakini watu wachache wana abuse misingi hiyo ili kuwanyamazisha watu wengine kwa maslahi yao.

What is senseless and sensible ambitions based on rules, principle, regurations and concordance within CHADEMA?.

What are the parameters.
 

Mlisubiri nini muda wote kusema haya?????!!!
Unafiki mtupuuuu hovyo kabisa
 
wee nenoi KUZODOA hulijui ama hujawah kuliskia??
basi jifunze kiswahili fasaha kwa kununua kamusi ya mwaka 2011 ta tuk

wanafunzi wangu wanapata tabu ya nini??
Teh teh teh ndio maana Lumumba wengi humu tia maji teh teh embu kaonganishe iyo sentensi uliyoandika alafu utoe maana ya KUZODOA..
Vipi na "NENOI"..
 
Kwani wakati wa kusahisha mitihani ya wanafunzi huwa mnasahisha pale mwanafunzi anapokosea spelling na neno kuleta maana nyingine au kutoleta maana kabisa,inawezekana nyie ndio mnaozalisha Division5..
Embu rudia kusoma post yako hapo juu usijeukarudishwa shule bure,kama mwalimu unaandika hivyo mwanafunzi ataandikaje.
 
Stop being over jubilant brother.Do you agree with him?Je wewe unakubaliana na hizo rhetorics kama Mwanachama wa CHADEMA?Be honest to ypurself!

Dah! Mkuu nataka kukopa kama milioni 20 kutoka kwenye chama letu la ukweli CDM naomba utaratibu tafadhali, maana nasikia ni siku chache tu zilopita mpunga wa ruzuku umeingia chamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…