Albert Mangwea is Dead!

Albert Mangwea is Dead!

Mythbuster

Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
92
Reaction score
50
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio Clouds FM, Mwanamuziki wa kizazi kipya Albert Mangwea amefariki leo huko Afrika ya Kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata watatupasha. RIP Mangwea.
 
millard ayo
#BREAKING : Msanii ALBERT MANGWEA
(Ngwair), amefariki dunia leo akiwa
Afrika Kusini, rafiki anasema hakuamka
toka jana alipolala. taarifa zaidi
zinaendelea kuja #R .I.P
 
....Yeye mbele sisi nyuma ... wanadamu tuishi kwa upendo na amani...R. I. P
 
Kwa mujibu wa matangazo ya Radio Clouds FM, Mwanamuziki wa kizazi kipya Albert Mangwea amefariki leo huko Afrika ya Kusini. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana na wameahidi wakipata watatupasha. RIP Mangwea.

RIP Mangwea!!! Sasa hao clouds fm, wameanza kurudia rudia nyimbo zake? Hakuacha wosia wasitangaze kifo chake?
 
Alikuwa anajiandaa na harusi ya Norahtarehe 8 mwez ujao.Alijioverdoz yeye na m2 za p .Kafia hospital..RIP cow boy

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Tetesi nilizopata toka huko zinasema "drug overdose" ndio imesababisha kifo chake. Kama Ni kweli basi vijana tujirekebishe..
 
Da! Kijana mdogo tu... kama ni kweli ni drugs, hata kama ni bia, tunatakiwa tujirekebishe sana vijana
 
Peace Ngwair... your journey is done

Peace
 
salam salam kwa kaka poda bilionea mwambie mdogo wako aache poda ale mme
 


  • Options
  • Dj Fetty


    Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali.




    L
 
salam salam kwa kaka poda bilionea mwambie mdogo wako aache poda ale mmea
 
Duh!R.I.P jembe ingawa ulinikwazaga sana na wimbo wako wa kumsifia JK kipindi cha kampeni.
 
Duh wabongo bwana,watu hawajapata hata chanzo washaanza kujudge.Pumzika kwa amani mwanachemba.
 
RIP Mangwair. Hizi poda zitawamaliza vijana (kama ni kweli ndio chanzo cha kifo)
 
Back
Top Bottom