Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
tatizo ni nini?
Jamani mtu ameuliza swali, kama hamna jibu basi. Sioni sababu ya kuja juu.Limemshinda unaweza kulinunua? Biashara zake nyingine pia umezifanyia analysis kujua kama anaendelea nazo au la?