Alarm as Tanzania leader faints

Alarm as Tanzania leader faints

Kikwete kazaliwa 1950, October 7 ( according to several sources online) kama hii ni accurate anafikisha miaka 60 October 7 2010 na sasa hivi ana miaka 59 si 49.

Hesabu tatizo la kitaifa, Ngahyoma hajui kujumlisha/ kutoa 2010 (October) - 1950 (October) = 60 ? And that Kikwete is 59 and will be 60 in October Inshaallah ?

..............................................
Source Mzee wa Mshitu: Happy Birthday dear President JK

Naomba nimuokoe Ngahyoma kwa kusema kosa ni la Kikwete mwenyewe.

Bado natafuta uthibitisho lakini kumbukumbu yangu ni kwamba alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kuingia serikali ya A.H. Mwinyi, alitambulishwa kama damu mpya, kijana aliyekuwa kwenye 40s.

Leo hii ni zaidi ya mika 20 yeye bado yuko chini ya 60! Naona ni mummy anayeishi.
 
Naomba nimuokoe Ngahyoma kwa kusema kosa ni la Kikwete mwenyewe.

Bado natafuta uthibitisho lakini kumbukumbu yangu ni kwamba alipoteuliwa kwa mara ya kwanza kuingia serikali ya A.H. Mwinyi, alitambulishwa kama damu mpya, kijana aliyekuwa kwenye 40s.

Leo hii ni zaidi ya mika 20 yeye bado yuko chini ya 60! Naona ni mummy anayeishi.

Source please.

Unaposema "kwenye 40's" unamaanisha nini? 40 au 49 ?

Kikwete katambulishwa kuingia kwenye serikali ya A.H Mwinyi mwaka gani? katika nafasi gani?

Kama unashangaa Kikwete kuwa under 60 in all those years, utamteteaje Ngahyoma kusema Kikwete ana umri wa miaka 49 ?

Katika thread inayohusu umakini wa namba, post yako isiyo na accuracy wala sourcing inakosa kutujulisha chochote.

Hivi Ngahyoma alishindwa kufanya simple verification? Au kapata mwaka aliozaliwa Kikwete kama 1950 lakini kakosea kutoa miaka ?

Hivi kweli unatetea mtu kutumia data obscure za 1980's wakati kuna data mpya zipo wazi ?
 
Huku sio kufunga kwasababu ame loose weight sana na sio kawaida kwa mtu wa miaka 59. sijui lakini kuna kitu kingine hapa
 
Kiranga naye bwana anabisha kila kitu. Mhusika upo si umwambie? Halafu ulijibu swali gani wakati unajiandikisha JF?

Una hakika kwamba nabisha ? Umeelewa swali nililouliza ?

Unaelewa "mhusika" anayezungumziwa uraia wake ni nani hapa ? Unaposema "mhusika upo si umwambie" una imply jibu la swali ninalo mimi, na miye ndiye mhusika ambaye uraia wangu unauliziwa, umefuatilia posts na kuhakikisha hilo ndilo suala ? Au unakimbilia kujibu vitu kwa prejudice za "Kiranga anabisha kila kitu" bila kujua flow ya posts inaendaje, na kinachozungumziwa ni nini?

Swali gani nilijibu wakati najiandikisha halihusiki hapa, kwa sababu swala linalozungumziwa si la uraia wangu, labda ungesoma flow ya posts kabla ya kujibu kwa jazba ungeweza kuelewa zaidi.

Rudia kusoma.
 
Vilevile kuna possibilty kwamba amepunguza. Si unajua umri wa kiafrika kama wacheza mpira wetu wakienda ulaya!!!! Isije ikawa tunadai ni mdogo kumbe ni kibabu kuliko tunavyofikiria.

kitakuwa kibabau ila kinajipiga mapoda ili kiwe kinang,aa teeeh
 
...................................................................About 15 minutes into his speech, he slowed down, before slumping over the podium for several minutes.

The BBC's John Ngahyoma in Dar es Salaam says this is the third time the 59-year-old has collapsed in recent years.

Officials have tried to downplay the incident, saying he was only tired.

He has recently returned from a long trip to the US. Some officials have attributed his collapse to fasting during the Muslim holy month of Ramadan.

Tanzania's Citizen newspaper reports that his second rally passed off without incident on Monday.

But it says thousands of the president's supporters stared in disbelief as the president collapsed on Sunday.

It reports that some women wept, while the national broadcaster stopped its live coverage of the event.

The president's two main challengers have sent their best wishes, the Citizen reports.

The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party says the president's schedule will remain unchanged........ and his henchman Dr Sheikh Yahaya Husein said the incidences are sign of unbeatable candidate!!!!!!

He is seeking a second, and final, five-year term at the 31 October election.

Ohoo dear!!!!
 
Kama mwandishi mwandamizi kama Ngahyoma anakuwa kihiyo anashindwa hata kuhakiki habari na kuwapa buure kazi BBC ya kusema kuniradhi kwa mwandishi wao kukosea sasa nimeamini Ben alivyosema bongo hakuna waandishi wa habari ,si ajabu tukasikia Makamba,Msekwa na Mzee Ruksa wanamiaka 39
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom