Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,174
- 9,898
Mkuu kama Una PDF ya symbolism chochote Kile kilete humu Kwa manufaa ya jukwaaMkuu hiyo sio tafsiri ya Pagan...
Pagan limetokana na neno la kilatin paganus linamaanisha Wanakijiji /Watu wa kijijini au Watu wa mikoani...
Nyinyi ndo mnalitumia Vbaya na Dini zenu hizo..
Kwa mfano nikisema wazazi wako ni wapagani namaanisha sio wa Dar au wa Dodoma..
Yaani wa mikoani..
Au ni wa vijijini..
