Alama ya T barabarani inamaanisha nini?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,700
1,721
Wakuu, kwenye ishara za barabarani pana herufi T.. kwa rangi ya njano, mfano T18 Urambo, T8 Nzega nk. Nimejaribu kuulizia hata kwa wanaofundisha udereva sijapata jibu hivo nimeamua kutupia humu. Msaada tafadhari.
 
Majina ya barabara.. au Highways..
 
subiri subiri utapata majibu, mie niko kwetu kijijini hakuna hivyo vitu labda huko mjini
Poa mkuu, lakini kama utakuwa unasafiri hasa katika barabara hizi kuu zinazojengwa sasa kwa lami utaona alama hizo kwenye mabango yatakayokuwapo kabla ya wenye akili kuyakata kama vyuma chakavu.
 
T.png

Hii mfano wa makutano ya Barabara T.
 
T stand for trunk road, trunk highway, or strategic road is a major road, usually connecting two or more cities, ports, airports and other places, which is the recommended route for long-distance and freight traffic. Many trunk roads have segregated lanes in a dual carriageway, or are of motorway standard. Kwa hapa Tanzania ni barabara zilizo chini ya Tanroad.
 
Aksante mkuu kwa ufafanuzi wa hiyo T, je na hizo namba nazo?
 
Wakuu, kwenye ishara za barabarani pana herufi T.. kwa rangi ya njano, mfano T18 Urambo, T8 Nzega nk. Nimejaribu kuulizia hata kwa wanaofundisha udereva sijapata jibu hivo nimeamua kutupia humu. Msaada tafadhari.
T=tungi sana
kwa mfano.
T 18=kula mupa 18
T 8=kula vyupa 8
 
Inaonekana mpaka muda huu wadau wa Civil engineering and highway transportation hawajapita hapa.
 
Back
Top Bottom