Alama ya T barabarani inamaanisha nini?

Alama ya T barabarani inamaanisha nini?

T nnavyojua mm ni " TO " inaku direct kwenda! Mfno T 1 Tanga, T 2 Dar that TO no 1 ni Tanga na To no 2 ni Dar
 
9e4d61a07f2af26e7d49dba42410ffba.jpg
7527447ef5bae747c4ff9d369b36145c.jpg
dd50da5328c27b9620e8901a4a57fc24.jpg
Sio hizi. Tatizo nashindwa ku'upload image' maana sura ya JF ninayoipata imebadilishwa, sio ile ya kawaida.
 
Wakuu, kwenye ishara za barabarani pana herufi T.. kwa rangi ya njano, mfano T18 Urambo, T8 Nzega nk. Nimejaribu kuulizia hata kwa wanaofundisha udereva sijapata jibu hivo nimeamua kutupia humu. Msaada tafadhari.

Ni alama zitumikazo kutambulisha eneo husika katika ramani
mfano B
 
Attachments

  • Trunk roads.PNG
    Trunk roads.PNG
    15.2 KB · Views: 124
Mkuu ni sawa, lakini nadhani mtoa mada alikuwa specific kwenye zile code! T pia inatumika kuonesha kuwa chombo kilicho mbele yako ni kirefu/kimefungwa trailer (long vehicle) hasa inapowekwa nyuma ya Chombo husika!
Ndio Mkuu, "T" ikitumika katika chombo cha usafiri hususan lori ina maana ya "Traller"
 
Mi nauliza hivi yale majamaa yanayosimamaga barabarani mchana kutwa yakisimamisha magari na kuomba hela hivi hayalipwagi mshahara?
 
Ni majina ya barabara kubwa na kuna ramani ya nchi nzima inayoonyesha hizo barabara za lami! Ni mfumo wa kimataifa kuzipa barabara namba.
 
Wakuu, kwenye ishara za barabarani pana herufi T.. kwa rangi ya njano, mfano T18 Urambo, T8 Nzega nk. Nimejaribu kuulizia hata kwa wanaofundisha udereva sijapata jibu hivo nimeamua kutupia humu. Msaada tafadhari.

Alama ya utambuzi wa barabara T ni Trunk Road ( barabara kuu, zile zinazounga mikoa na mikoa au na nchi).
Ukiona imeanza R ni Regional road ( barabara za mikoa, zinaunga wilaya na wilaya).
Mfano T1 ni Dar Tunduma, T2 ni Chalinze Namanga
 
Poa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom