Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

Wewe muandishi ulimuuliza wapi mlipoonana ? ahahahhaahhahaahahahhah imetafsiri kiswahili ili uelewe Mpumbavu atabaki mpumbavu dunia nzima labda uniletee kamusi ya kiswahili ikiwa na maana tofauti ya mpumbavu Ahahahhahahahahahaha hicho kinu katwangie kisamvu au kamtwange huyo Mungu wa Paulo alietemewa mate kama MAVI ahahahhaahahajaajajjaa

Niende na akili zako za kipumbavu sababu
IMG_20190115_122416_809.jpg
ilaha MTU mpumbavu kama wewe
IMG_20190114_145706_268.jpg
Tukubaliane hapa bila maudhui kama ulicho ANDIKA
IMG_20190119_091248_276.jpg
njoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Kwa hakika alama na ishara hizo hazina umuhimu wala maana yoyote katika kuwekwa katika Misikiti au sehemu nyingine zozote. Kwani wakati wa Mtume (Swalla-Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba zake (Radhiya-Allaahu 'anhum) alama
kama hizo zilikuwa hazipo.
Baada ya hapo huenda Waislamu wakaamua kuwa wawe na ishara kama vile Mayahudi
na Manaswara, kwani Mayahudi wana ile ishara ya nyota ya Daudi ambayo ina pembe sita na Manaswara wana ishara ya kuwa na msalaba. Kwa kuwa sisi huwa tarehe zetu za siku na miezi yetu hufuata mwezi, basi baadhi ya Waislam wakaona kuwa waweke hiyo alama ya mwezi kama nembo, lakini kiuhakika haina maana yoyote ya kisheria.
Na Allah Anajua zaidi.

Kauli yako ya mwisho, "na Allah anajua zaidi", ndiyo ya maana sana kuliko hayo maneno yako mengine.
 
Niende na akili zako za kipumbavu sababu View attachment 998702 ilaha MTU mpumbavu kama wewe View attachment 998703 Tukubaliane hapa bila maudhui kama ulicho ANDIKA View attachment 998707 njoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaangaika sana kijana , mimi wala sina tatizo na izo aya zinaeleweka, kuwa mpumbavu lazima umtwange, ndio maana wayahudi walimtwanga Mungu wako kwa sababu ni mpumbavu, na hili sikulisema mimi mlaumu Paulo, level ya upumbavu wa Mungu wa Paulo ni Afadhali kuliko binadamu, lakini still ni Mpumbavu

WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"; kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya binadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu";

Mungu mwenye sifa ya upumbavu kuna ubaya gani watu kumtwanga, nilisahau kumbe vilevile ni DHAIFU ndio maana walimchapa vibao wakamuacha na kachupi kama komando kipensi, ahahahhaahahajaajajjaa imani hizi Mungu katemewa mate ahahahaah ahaahhhhhahaha
 
Sina tatizo na unacho ANDIKA sababu quran si kazi jiburilu ilaha ADUI ADUI YAKE JIBRIL
IMG_20190119_091248_276.jpg
na kazi ya shetani ni kupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina tatizo na unacho ANDIKA sababu quran si kazi jiburilu ilaha ADUI ADUI YAKE JIBRIL View attachment 1000042 na kazi ya shetani ni kupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Alie kua adui wa Jibril hapo si mtume mbona hiko wazi , kwa namna alivyokuwa anamtisha akawa kama adui , unataka kuchanganya nini, Mungu anae pigwa na watu aliowaumba mwenyewe ili awaokoe watu hao hao aliowaumba mwenyewe huyu ni MPUMBAVU , wala Paulo ajakosea , kinyago chako mwenyewe halafu kinakutisha

WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"; Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya binadamu na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu";

Ahahahahaaaahahhahhaaha kazi unayo Mungu wa Paulo ni mpumbavu na DHAIFU hili ata uruke ruke uwezi kufuta
 
Hicho ulicho ANDIKA ni mahaba niue ilaha aya IKO wazi koloani ni kazi ya ADUI yake gibril
IMG_20190119_091248_276.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho ulicho ANDIKA ni mahaba niue ilaha aya IKO wazi koloani ni kazi ya ADUI yake gibril View attachment 1000072

Sent using Jamii Forums mobile app
Masikini kijana anatia huruma
QURAN 16:102
Sema: Ameteremsha hii (Quran) ROHO TAKATIFU ( Jibril) kutokana na Mola wako mlezi kwa haki,

Ahahahahaaaahahhahhaaha utaokoteza sana , Tuko palepale Mungu wako anabaki kuwa mpumbavu ndio maana watu aliowaumba mwenyewe wamemtia adabu kama kibaka ahahahaah ahaahhhhhahaha

WAKORINTHO wa kwanza 1:25
";kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya binadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu,";

Ahahahahaaaahahhahhaaha kwani umelazimishwa kumfata Mungu mpumbavu na dhaifu, achana nae huyu Ahahahahaaaahqa ahahahahaahhah
 
Ahahahahaaaahahhahhaaha unatia huruma
Ameteremsha hii kitu gani?
Roho takatifu ni nani ?

Ahahahahaaaahahhahhaaha pole sana unachoangaika nacho ni ujinga. Aliemuita Mungu wako mpumbavu sio mimi
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"; Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya binadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu";

sasa unapokuja hapa na kuunga unga sijui adui wa Jibril , unashangaza sana, ila sikulaumu kama Mungu wa ndio huyu wa Paulo yaani Mpumbavu na DHAIFU wewe ni jambo la kawaida kuwa mtu wa kuokota okota
 
eti kuunga unga hii ayat
IMG_20190119_091248_276.jpg
nimeunga wapi ADUI yake gibril ndie kamvuvia quran muhammad Hakuna cha allah wala gibril ILIYO TEREMSHWA NI ROHO TAKATIFU SIO KOLANI YOU sasa sishangai wewe kumtukana Mungu kitu ya ibilisi imejaa kichwani MWAKO masudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti kuunga unga hii ayat View attachment 1000338 nimeunga wapi ADUI yake gibril ndie kamvuvia quran muhammad Hakuna cha allah wala gibril ILIYO TEREMSHWA NI ROHO TAKATIFU SIO KOLANI YOU sasa sishangai wewe kumtukana Mungu kitu ya ibilisi imejaa kichwani MWAKO masudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuunga unga
QURAN 81:25
"; wala hii sio kauli ya shetani maluuni ".

Ahahahahaaaahahhahhaaha kumbe mpumbavu ni tusi , baasi anza kumlaani huyu
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"; Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu";

mbona unanililia mimi hapa, anza na Paulo Aliesema Mungu wake ni mpumbavu na DHAIFU ahahahhhahahahaajhauaua asiwe vip mpumbavu wakati kavuliwa nguo kabaki na kachupi, Mungu gani huyo kama TOI
 
Hii aya naona kuna nafsi tatu zimehusika ..je huyu wa tatu ni nani...naona Kuna Mungu na Jibril tu ..huyo mwengine ni nani?
 
Kumbe uislam umechakachuliwa namna hii. Sasa wale wanaoshupaa kila siku hapa kuwa uislam upo vile vile kama alivyouleta mtume ina maana hii story yako hawaijui au?

Na hii argument yako inamaanisha allah kashindwa kuulinda uislam wake usiongezewe alama za kituruki..hahahah
Uchochezi huu
 
Endelea kuunga unga
QURAN 81:25
"; wala hii sio kauli ya shetani maluuni ".

Ahahahahaaaahahhahhaaha kumbe mpumbavu ni tusi , baasi anza kumlaani huyu
WAKORINTHO wa kwanza 1:25
"; Kwa sababu UPUMBAVU wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu, na UDHAIFU wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu";

mbona unanililia mimi hapa, anza na Paulo Aliesema Mungu wake ni mpumbavu na DHAIFU ahahahhhahahahaajhauaua asiwe vip mpumbavu wakati kavuliwa nguo kabaki na kachupi, Mungu gani huyo kama TOI
Mimi nimenukuu tû!; kama kuunga unga kambishie Aliye vuviwa bro hayanihusu!
Kuhusu Prof Paulo Mtume wa Yesu Anakujibu Mtume Petro!

2 Peter 3:15-16
[15]Nanyi uhesabuni uvumilivu wa Bwana wetu kuwa ni wokovu, kama vile na ndugu yetu mpenzi Paulo alivyowaandikia kwa hekima aliyopewa;

[16]vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasio na elimu, wasio imara, huyapotoa, kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe.
 
Imani nyingi zina siri sana na wanaozijua siri hizo ni wachache sana. Huko mwezini ni makazi ya pepo lililo asili ya madhehebu mengi makubwa sana ya kiimani duniani. Ukiwa mfiadini huwezi kujua mafumbo ya kiimani.
 
Ni ushetani ndio sanamu za kuchonga zinazo katazwa kutoka 20.

Hawa wanaabudu ma Miungu ya jua na Mwezi
Ndio maana Kuna Mwezi WA Ramadhani Tena wanaita MTUKUFU.

Hii DINI kwa MASHETANI mhhh
Tumeisha waonya
 
Back
Top Bottom