Wakuu siku za karibuni nimekuwa nikikutana na alama hii (angalia picha) mwenye kujua alama hii inamaanisha nini anijuze tafadhari.View attachment 1851869
Labda kuwa makini kuna watu wasiosikiaWakuu siku za karibuni nimekuwa nikikutana na alama hii (angalia picha) mwenye kujua alama hii inamaanisha nini anijuze tafadhari.View attachment 1851869View attachment 1851870
mimi ndio nimeiona siku za karibuni sasa unaweza kunisaidia inamaanisha nini?Siyo mpya hiyo alama.
nami nilifikiria hivyo ngoja tusikie wengine wanasemaje asante sana mkuuLabda kuwa makini kuna watu wasiosikia
Rejea tena post yangu kaka.mimi ndio nimeiona siku za karibuni sasa unaweza kunisaidia inamaanisha nini?
...mara nyingi alama hii huwa sehemu karibu na shule....mimi ndio nimeiona siku za karibuni sasa unaweza kunisaidia inamaanisha nini?
sawa asante sana mkuuHiyo ni tahadhari ya kuwa Kuna wasiosikia eneo hilo. Preferebly Kuna taasisi eneo hilo
Hapana ni Viziwi...Labda kuwa makini kuna watu wasiosikia
Sasa si ndio hawasikiiHapana ni Viziwi...
Hawasikii ni eneo lenye watu watukutu?Labda kuwa makini kuna watu wasiosikia
hii ina make senseUsiwapigie honi wavuuka njia ktk zebra
mi sijaona ilivyokua zamaniNi ya siku nyingi sana hiyo kwa vile imebadilishwa rangi imekuwa mpya?
Kuna tofauti ya kiziwi na kutosikia?Hapana ni Viziwi...