Alalamika kushindwa shindano la Sura Mbaya Zimbabwe

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,118
115,952
Kama mnakumbuka hapa Tanzania shindano hili
liliwahi kufanyika...ambapo Mshindi aliitwa Masoud..akawa maarufu 'Masoud Sura Mbaya'

na mshindi wa pili alikuwa Dr Remmy Ongala ambae nae alilalamika kuonewa....
akiamini yeye ndo mshindi.......


Huko Zimbabwe mtu ambae ameshinda kwa miaka mitatu mfululizo
mwaka huu kashindwa..na yeye analalamika upendeleo

yeye ndo mshindi halali.......
 
images
 
Kwani kipimo cha kuwa na sura mbaya ni kuwa na mapengo? Naona wote wanamapengo
 
Huyo mshindi ni mrembo "handsome" kama asipofungua kinywa.
Natural born "sura mbaya" hana ndio maana hata washiriki wenzake walipinga.

Jamaa mapengo tu
 
mbona wote wazuri tu???? au hawajawahi kuona watu wenye sura kama viatu vya bukujero pale chini kkoo.
 
Back
Top Bottom