Alaaaah Kumbe ndio maana waalimu wanadharaulika!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alaaaah Kumbe ndio maana waalimu wanadharaulika!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KIBURUDISHO, Feb 9, 2012.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Niko kwenye tv nafuatilia Hotuba ya mh,PM na Madaktari ndipo nilipogundua kuwa kumbe kiapo chao madaktari kinawaruhusu wazi kufanya mgomo ili kutekeleza kiapo chao walicho apa .Swali kwenu waalimu kiapo chenu kinasemaje? Na kama kinasema hivyo hamuoni huo ndio mwanya wa nyie Kudharaurika?
  Nawasilisha.
   
 2. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Walimu hakuna kiapo mkuu.
   
 3. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  sisi walimu hatugomi usikii? tunaogopa.
   
 4. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  habari yako bwana mwalimu? wewe na ualimu ni hadi kifo eeh?
   
 5. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Walimu walishagoma siku nyingiiiiiii, nadhani mnaona matokeo ya shule za serikali yasemavyo
   
 6. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Walimu wagome mara ya ngapi mkuu? We unaona haya matokeo ya 4m iv yakoje? Walimu kazeni uzi mpaka watakapozinduka. Wasipoelewa msiumize vichwa kwenda barabarani. Hiyo staili yenu makini kabisa.
   
 7. N

  NGANGU Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mneno haya!
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  rafiki zangu shule fulani wameahidi ziro zaidi ya mia.
   
 9. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  :juggle::ballchain:balaa sana hilo........emb tuandikie kiapo cha dokta na cha mwalimu?:alien::alien:
   
Loading...