Alaaaaah!!

ngombelee

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
376
284
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaah.......
kwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom