Admin wa hili group kiboko

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,370
29,961
Kuna group nimeingia huko whatsapp nikauliza jamni vipi?kimya, jamani wazima humu nikakuta kimya
nimebadili jina la group kuwa "wauza madawa ya kulevya wa dar" hivi navyosema wameleft karibu wote ...nataka mambo mubashara bwana alaahkwamba kunijibu nalo ni suala mtambuka
 
nilidhani una hoja.......!
nategemea huu uzi wako kuukuta kwenye jukwaa husika baadae kidogo..
jokes.PNG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom