Hiyo ni wapi mkuuu???? Chuga siyo rahisi kihivyo.
Kumbe wahudumu wa mabaa (bar maids) kwenye vile vipochi vidogo vinavyoning'inia, wanakuwa na vikaratasi vidogo ambavyo wameandika namba za simu, ukijichanganya, unapewa ratiba ya huduma! Wadau lets drink safely, life is short!