Al-Shabaab wafadhaishwa.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Kundi la wapiganaji la Somalia la Al Shabaab limefadhaishwa na taarifa za Kenya kuwahusisha na utekaji nyara wa raia wa kigeni wanne, wamedai wenyewe hawajihusishi na utekaji nyara wala uharamia na wanahisi Kenya inataka kuwachafulia CV yao.Wamesema taarifa hizo sio sahihi na kundi hili linalinda ardhi ya Somalia ambayo kwa sasa haina serikali na maadui zao huwa 'WANAWALIPUA TU' na hili la utekaji nyara na uharamia wa baharini unafanywa na wahuni tu ambao wao pia huwapinga.
 
inawezekana wanasema ukweli sababu hawa watu wakifanya tukio huwa wanakiri.. ni wao wahusika.
 
hivi mnamjibu wa nini huyu haramia...haaaa haa ha tehteh haa ha a aa haa uwwiiiiiiii naaa nanan mmmmhaaa
hhuuuj ajaaa jajajaj kkaaa kikiiiiikmnhhhh,.............kanichekesha sana..
piss of s..t huyu...mmhhhhh.
 
hivi mnamjibu wa nini huyu haramia...haaaa haa ha tehteh haa ha a aa haa uwwiiiiiiii naaa nanan mmmmhaaahhuuuj ajaaa jajajaj kkaaa kikiiiiikmnhhhh,.............kanichekesha sana.. piss of s..t huyu...mmhhhhh.
hivi bado hujaacha kunywa gongo ?
 
oooooooooooooooooooooooooooooopppppppppppppppppppppppppppssssssssssssssssssssss
sssssssssssssshhhhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaa
uuuuuuuuuuppppppppppppupppppppppppup
 
Back
Top Bottom