AL-Jazeera News TV Channel ya Kiswahili

De Javu

JF-Expert Member
May 5, 2010
264
33
Al-Jazeera TV yenye makao makuu yake nchini Qatar, ipo mbioni kuanzisha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili si muda mrefu ujao. Habari zinaeleza kua Aljazeera inakamilisha taratibu za kuweka kituo chake cha kurushia matangazo kwa ajili ya Afrika mashariki mjini Nairobi Kenya.
 
ANSAmed) - DOHA, MAY 11 - Pan-Arab satellite television channel al Jazeera has plans to start up a channel in Turkish soon, one of the main languages of Islam, and one in Swahili, the language that is spoken in east, central and southern Africa where tens of millions of Muslims live.

The news was confirmed to ANSA by sources in the network, which has its headquarters in Qatar. The news has been going round for several months, and was announced in the past days by Qatar's Culture Minister Hamad al Kawari in Doha, during a meeting with several visiting Turkish reporters.

Local observers say that the initiative is part of the network's strategy of conquering new markets of Muslim viewers, inaccessible for the large Western networks like BBC and CNN.

The Turkish channel would reportedly reach and audience of more than 90 million Muslims in Turkey alone, as well as all other Turkish speaking populations living in central Asia, up to the Chinese border. (ANSAmed).
Source:
MEDIA: AL JAZEERA TO OPEN CHANNELS IN TURKISH AND SWAHILI - Turkey - ANSAMED.info

My view:
Good to have major TV channels with different news perspective from Doha, RT Moscow, CNN N.Y, BBC London, DW Germany, Beijing e,t.c
 
Itakuwa ni vizuri sana. Anachokificha kukionyesha ITV, TBC etc hawa jamaa watakionyesha. Big up Al J!!
 
Haya watangazaji wa Kiswahili, sio mpaka mtangaziwe "nafasi za kazi". Ulaji huo. Lakini si mmeona wenzenu wa Al jazeera wanavyopendeza, msiende mkatutia aibu huko.
 
Wacha wawatangazie manyang'au wenzao marafiki wa terrorist groups, si wapo karibu na El-hashab hawa.
 
Habari nzuri lakini hapa watanzania tunapigwa bao sababu tumekalia siasa tu

Watanzania kingereza tunapigwa bao na kenya tunajisifia tuna lugha yetu kiswahili
Haya channel za kiswahili nayo wakenya wanatupiga bao iwe ni BBC ina hawa Aljazera HQ ni Nairobi.

Why not Tanzania?
Why not Dar Es Salaam
Or why not Zanzibar?
 
1) Hapa si wakija ma Investor wanaitwa mafisadi.

2) Maandamano ya kila siku ya chadema unafikiri yana tija? kusudio lake si kuvunja nguvu za Kikwete alizozitoa kutafuta ma investor. Unafikiri wenye mitaji yao ya uhakika watakuja hapa, kila kukicha maandamano?
 
Wacha wawatangazie manyang'au wenzao marafiki wa terrorist groups, si wapo karibu na El-hashab hawa.

Hivi sasa hivi natazama ITV (ya mchaga hii) inarusha Al Jazeera Live, Jee na hawa ni marafiki wa hao uliowataja? mie sijawahi kuwasikia hao, au spelling zilipiga chenga. Unanchekesha.
 
1) Hapa si wakija ma Investor wanaitwa mafisadi.

2) Maandamano ya kila siku ya chadema unafikiri yana tija? kusudio lake si kuvunja nguvu za Kikwete alizozitoa kutafuta ma investor. Unafikiri wenye mitaji yao ya uhakika watakuja hapa, kila kukicha maandamano?
bwahahahahaha !!
kwa umemem gani waanzishe kituo cha tv? chadema ndio wanasababisha tuwe na mgao? na foleni kila siku?
tumia akili kufikiri na sio tumbo
 
1) Hapa si wakija ma Investor wanaitwa mafisadi.

2) Maandamano ya kila siku ya chadema unafikiri yana tija? kusudio lake si kuvunja nguvu za Kikwete alizozitoa kutafuta ma investor. Unafikiri wenye mitaji yao ya uhakika watakuja hapa, kila kukicha maandamano?

chadema wapo egypt?tunisia?na syria? kule wachaga ndio wamejazana?
 
1) Hapa si wakija ma Investor wanaitwa mafisadi.

2) Maandamano ya kila siku ya chadema unafikiri yana tija? kusudio lake si kuvunja nguvu za Kikwete alizozitoa kutafuta ma investor. Unafikiri wenye mitaji yao ya uhakika watakuja hapa, kila kukicha maandamano?

1)Maandamano hayazuii kukua kwa uchumi wala watu kuja kuinvest as long as ni peaceful demonstartions.

2) Kama investors wenyewe ndio hao TICTS, RITES, DOWANS, IPTL, na wamachinga wa kichina waliojaa Kariakoo basi wananchi wanayo haki ya kuuliza na kuandamana

Mzee wa magamba nchi imemshinda
 
Maandamano ni reflection ya dissatisfaction kwahiyo ni political instability in which ndani yake kuna corruption, hardship in enforcing regulations, poor governance, beauracracy etc. Kwahiyo investors kamwe hawawezi kuja maeneo hayo unless na wao wawe corrupt kama ulivyotaja hapo.
Nadhani hujui nini kimefuata kiuchumi Egypt na Tunisia na maeneo mengine ya Middle East after uprisings. Mahoteli hayana wateja ambao mategemeo ni tourists, kwa kifupi watu wamepoteza kazi na hiyo kurudisha stability na trust haitachukua muda mfupi.
But Al-jazeera are credited for uprisings in Tunisia and Egypt but bias in Bahrain and other Gulf countries including UAE. Pia kwenye censorship sio saana kama media nyingine na ndio maana apart from reuters nao hutajwa mara nyingi kama source za info kwa middle east na Asian countries.
 
ANSAmed) - DOHA, MAY 11 - Pan-Arab satellite television channel al Jazeera has plans to start up a channel in Turkish soon, one of the main languages of Islam, and one in Swahili, the language that is spoken in east, central and southern Africa where tens of millions of Muslims live.

Local observers say that the initiative is part of the network's strategy of conquering new markets of Muslim viewers, inaccessible for the large Western networks like BBC and CNN.

The Turkish channel would reportedly reach and audience of more than 90 million Muslims in Turkey alone, as well as all other Turkish speaking populations living in central Asia, up to the Chinese border. (ANSAmed).
Source:
MEDIA: AL JAZEERA TO OPEN CHANNELS IN TURKISH AND SWAHILI - Turkey - ANSAMED.info

My view:
Good to have major TV channels with different news perspective from Doha, RT Moscow, CNN N.Y, BBC London, DW Germany, Beijing e,t.c

Kwani Al-Jazeera ni TV ya propaganda za Kidini? Ina Maana wanashindana na westerners ku fikia Waislam au wanataka kujulisha habari? Kwani huko kwenye nchi za West hakuna Waislam?
This is business, and these people are cleaver mana wanajua wakisema neno Islam basi kuna group watalizoa na kufanay biashara, sijaona kwenye Al-jazeera kama wanafundisha uislam, na zaidi about 90% ya wafanyakazi na washirika wake ni Westerners so hizi ni akili tu za kutajirika.
Kama wao wanataka kufikia ndugu wa kiislam kwa nini wanawekeza kwenye mambo yasiyo ya umuhimu , mambo ya kifahari, huko kwao (kama mbio za magari) badala ya kusaidia waislam wanaokandamizwa, na wanaokosa mahitaji muhimu?
Wasitumie neno Islam kama Business strategy.
 
1) Hapa si wakija ma Investor wanaitwa mafisadi.

2) Maandamano ya kila siku ya chadema unafikiri yana tija? kusudio lake si kuvunja nguvu za Kikwete alizozitoa kutafuta ma investor. Unafikiri wenye mitaji yao ya uhakika watakuja hapa, kila kukicha maandamano?

Mbona huko Misri, Tunisia, Libya, Syria, nk wanatangaza pamoja na watangazaji wao kutekwa?
 
1) Hapa si wakija ma Investor wanaitwa mafisadi.

2) Maandamano ya kila siku ya chadema unafikiri yana tija? kusudio lake si kuvunja nguvu za Kikwete alizozitoa kutafuta ma investor. Unafikiri wenye mitaji yao ya uhakika watakuja hapa, kila kukicha maandamano?

Mbona huko Misri, Tunisia, Libya, Syria, nk wanatangaza pamoja na watangazaji wao kutekwa? Na kama watakuwa ni mafisadi kwa nini tusiwaite mafisadi?
 
Back
Top Bottom