Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,116
- 4,773
Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam? Je TISS wanakuwa na taarifa in advance kuwa jamaa wanataka kufungua ofisi hizo? wana lobby ili jamaa wafungue ofisi hizo Tanzania? Ofisi hizo ni mzingo kwa nchi au ni advantage? Najua kuna watu hapa wenye uelewa kuhusu issue hii, ni vizuri tukiwa na TISS inayendana na wakati na sio inayfanya kazi kama za miaka ya karne ya 19
Dar es Salaam ni giza na mgawo wenu!
No coments
Nairobi is now one of the most prominent cities in Africa politically and financially.[SUP][8][/SUP] Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organisations, including the United Nations Environment Programme (UNEP) and the main coordinating and headquarters for the UN in Africa & Middle East, the United Nations Office in Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Stock Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and second oldest exchange.It is ranked 4th in terms of trading volume and capable of making 10 million trades a day.[SUP][9][/SUP] The Globalization and World Cities Study Group and Network (GaWC) defines Nairobi as a prominent social centre.[SUP][citation neededNairobi - Wikipedia, the free encyclopedia][/SUP]
Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam? Je TISS wanakuwa na taarifa in advance kuwa jamaa wanataka kufungua ofisi hizo? wana lobby ili jamaa wafungue ofisi hizo Tanzania? Ofisi hizo ni mzingo kwa nchi au ni advantage? Najua kuna watu hapa wenye uelewa kuhusu issue hii, ni vizuri tukiwa na TISS inayendana na wakati na sio inayfanya kazi kama za miaka ya karne ya 19
Kwani ni kazi ya TISS kujua kampuni gani inampango wa kuwekeza Nairobi na kuwashawishi waje Tanzania? Mimi nadhani tungejiuliza kuna nini Nairobi ambacho kinayavutia mashirika yote makubwa ya kimataifa kuwekeza/kufungua ofisi pale na siyo Dar es salaam?
<br />Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam? Je TISS wanakuwa na taarifa in advance kuwa jamaa wanataka kufungua ofisi hizo? wana lobby ili jamaa wafungue ofisi hizo Tanzania? Ofisi hizo ni mzingo kwa nchi au ni advantage? Najua kuna watu hapa wenye uelewa kuhusu issue hii, ni vizuri tukiwa na TISS inayendana na wakati na sio inayfanya kazi kama za miaka ya karne ya 19
<br />Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam? Je TISS wanakuwa na taarifa in advance kuwa jamaa wanataka kufungua ofisi hizo? wana lobby ili jamaa wafungue ofisi hizo Tanzania? Ofisi hizo ni mzingo kwa nchi au ni advantage? Najua kuna watu hapa wenye uelewa kuhusu issue hii, ni vizuri tukiwa na TISS inayendana na wakati na sio inayfanya kazi kama za miaka ya karne ya 19
Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam? Je TISS wanakuwa na taarifa in advance kuwa jamaa wanataka kufungua ofisi hizo? wana lobby ili jamaa wafungue ofisi hizo Tanzania? Ofisi hizo ni mzingo kwa nchi au ni advantage? Najua kuna watu hapa wenye uelewa kuhusu issue hii, ni vizuri tukiwa na TISS inayendana na wakati na sio inayfanya kazi kama za miaka ya karne ya 19
Dar Hakuna Umeme chief!
Niliwahi kusema hapa TISS ilipaswa kuwa na kitengo kwaajili ya uchumi, ona sasa Kenya walivyochangamkia Sudan Kusini sisi tumelala ukisikia tuko huko ni juhudi zetu wenyewe lakini ukweli ni kwamba hiyo nchi ina-import skilled labour sasa hivi na wanaofaidi hilo ni Kenya.Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam? Je TISS wanakuwa na taarifa in advance kuwa jamaa wanataka kufungua ofisi hizo? wana lobby ili jamaa wafungue ofisi hizo Tanzania? Ofisi hizo ni mzingo kwa nchi au ni advantage? Najua kuna watu hapa wenye uelewa kuhusu issue hii, ni vizuri tukiwa na TISS inayendana na wakati na sio inayfanya kazi kama za miaka ya karne ya 19