Kenya have well educated work force besides speaking better English and writing fine Kiswahili.
kwa kweli, pamoja na mapungufu yote tuliyonayo hapa dsm, na kushindwa kuwavutia investors, still idhaa ya kiswahili BBC inasikilizwa zaidi na watanzania kuliko kenya, hata hii al jazeera itakuwa ivo ivo.. nadhani ni wakati muafaka sasa watanzania tukasusia kusikiliza hizi idhaa za kiswahili za nje mpaka waje TZ. Hata Kenya mgao upo...labda weather ikiwa kigezo..hapo naweza kukubaliana nao. But tusikubali kusikiliza idhaa hizi..wakitaka watangazie huko huko kama ilivyo Dautch Weller(DW), na Voice of America (VoA)..
Cassius:"The fault, dear Brutus, is not in our stars,
But in ourselves, that we are underlings."
Julius Caesar (I, ii, 140-141)
<br />Wakuu nilipost thread kule kwenye jamii intelligence naona imefinywa. Ilikuwa ni kuuliza ni kwanini mashirika karibu yote yanafungua ofisi zake Nairobi na sio Mwanza, Arusha au hapa Dar es salaam? Je TISS wanakuwa na taarifa in advance kuwa jamaa wanataka kufungua ofisi hizo? wana lobby ili jamaa wafungue ofisi hizo Tanzania? Ofisi hizo ni mzingo kwa nchi au ni advantage? Najua kuna watu hapa wenye uelewa kuhusu issue hii, ni vizuri tukiwa na TISS inayendana na wakati na sio inayfanya kazi kama za miaka ya karne ya 19
Kama sio Nairobi hiyo idhaa ya kiswahili ingefunguliwa Adis Ababa . Dar Es Sala haina chance. Sisi tumekalia kwenye siasa tu. Nairobi and Adis ndio Hub huu ukanda wa east and horn of africa .
Technically Logistic na mambo kama ya nishati yanaiweka Dar kuwa choice ya mwisho.
Lakini ukisikia hatujui kuingia mikataba na kujadiliana ndio matokeao yake haya .Tungeweza kutumia strength yetu pamoja na mapungufu tuliyonayo.
Mfano kwa kuwa tumewauzia wanayama wetu na tumewauzia mbuga zetu kwa bei cheee basi investment zao Tanzania iwe option ya Kwanza. Kifupi Hawa jamaa wa aljazeera( Nchi yao) wana historia na tazanaia zaidi kuliko kenya. Ni kwamba tumezubaa tu. Uliza role ya Ofisi zetu za kibalozi katika masuaa kama haya .......... zeroooooo
<br />naskia tido atakuwa mkurugenzi hapo?
<br />Kwa ninavyo fahamu sheria za tanzania haziruhusu mgeni kumiliki chombo cha habari kwa 100% nafikiri ni moja ya sababu, ndio maana hata BBC Idhaa ya kiswahili na idhaa ya kiswahili ya china wana studio zao nairobi. Na kuna siku mkuu wa idhaa ya kiswahili wa china alikuwa nasema wao walitaka kuweka studio zao nchini lakini sheria ya vyombo vya habari iliwabana.