Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,744
Nyie endelepeuni. Kazi Ya alallh maana makafiri wameumbwana husuda
Rudi usahihishe typology haraka la sivyo baadhi ya wasomaji watadhani umeandika ile lugha yenu mnayokaririshwa.
Nyie endelepeuni. Kazi Ya alallh maana makafiri wameumbwana husuda
Rudi usahihishe typology haraka la sivyo baadhi ya wasomaji watadhani umeandika ile lugha yenu mnayokaririshwa.
Kituo cha Al-Jazeera Islamic Center kimekanusha vikali tuhuma zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania,Shekh Ramadhan Salum Mazige amesema kuwa habari hizo ni za uzushi na pia wamelipa gazeti la Mtanzania siku saba kuthibitisha ukweli wa habari ilizoziandika vinginevyo wataliburuza mahakamani.Pamoja na hayo mkurugenzi wa kituo hicho amesema kuwa gazeti hilo lisiwe chanzo cha kuchochea vurugu bila ya tija yeyote.
Mtazamo wangu:Naamini MTANZANIA WATAKUJA NA USHAHIDI KUTHIBITISHA WALOANDIKA JUU YA KITUO HIKI KUFUNDISHA UGAIDI NA KUINGIZA SILAHA NCHINI KIMAGENDO.
SOSI:AMPLIFAYA-CLOUDS FM
Hawa jamaa walikosa jina la hicho kituo chao? Au ndio kutafuta attention.
Hiyo ya west Africa umeiweka wewe. kuna fulani ya kiswahili. Hukuwa na sababu ya kwenda huko mbali. Mi ni raia fulani tu.na wewe umekosa jina la avatar yako mpaka utumie jina la kabila la Wafulani la Afrika Magharibi au ndio kutafuta attention?