Al-jazeera islamic center yaishukia mtanzania

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
14,593
Reaction score
5,583
Kituo cha Al-Jazeera Islamic Center kimekanusha vikali tuhuma zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania,Shekh Ramadhan Salum Mazige amesema kuwa habari hizo ni za uzushi na pia wamelipa gazeti la Mtanzania siku saba kuthibitisha ukweli wa habari ilizoziandika vinginevyo wataliburuza mahakamani.Pamoja na hayo mkurugenzi wa kituo hicho amesema kuwa gazeti hilo lisiwe chanzo cha kuchochea vurugu bila ya tija yeyote.

Mtazamo wangu:Naamini MTANZANIA WATAKUJA NA USHAHIDI KUTHIBITISHA WALOANDIKA JUU YA KITUO HIKI KUFUNDISHA UGAIDI NA KUINGIZA SILAHA NCHINI KIMAGENDO.
SOSI:AMPLIFAYA-CLOUDS FM
 
Hussein Bashe ( Muislam) ndiye Mkurugenzi na Mwandishi naye ni Muislam... WANAFIKI wapo kazini !
 
hapo mwandishi wa khabari hiyo kama alikurupuka tu,au kitu kidogo kilimpa matumaini ya kuzua anayoona yeye ni sawa,sasa hivi presha juu,watu wanaletewa mitumba ya nguo kama misaada kwa nchi maskiti wajikimu kimavazi anakurupuka mtu anasema ni silaha,thibitisha sasa????!!!la sivyo mbebeni mahakamani
 
Hijalishi nani ni mkurugenz nani ni mwandishi,kinachotakiwa ni UADILIFU,UKANJANJA HAUNA NAFASI,KILA SIKU WATU WANAVILAUMU VYOMBO VYA HBR
 
hapo mwandishi wa khabari hiyo kama alikurupuka tu,au kitu kidogo kilimpa matumaini ya kuzua anayoona yeye ni sawa,sasa hivi presha juu,watu wanaletewa mitumba ya nguo kama misaada kwa nchi maskiti wajikimu kimavazi anakurupuka mtu anasema ni silaha,thibitisha sasa????!!!la sivyo mbebeni mahakamani
Kwa bahati nzuri ile habar ililetwa hapa,jamani waandishi mjifunze EYE WITNESS BASI,tunasoma habar nyingi waandishi huishia kuzidesa hapa jamvini
 
ile habari iliniudhi mpaka mod wakanipa ban.mod habari za kipuuuuzi mzifutilie mbali zinafanya tule ban
 
Mambo ya ugaidi ni tofauti kidogo! Jukumu la kupuruvu kutohusika na tuhuma ni la mtuhumiwa! Hawa watu inabidi waprove beyond reasonable doubt kuwa hawahusiki na hiyo kitu! Short of that wahusika wafuti kibali yao!
Kituo cha Al-Jazeera Islamic Center kimekanusha vikali tuhuma zilizoandikwa na gazeti la Mtanzania,Shekh Ramadhan Salum Mazige amesema kuwa habari hizo ni za uzushi na pia wamelipa gazeti la Mtanzania siku saba kuthibitisha ukweli wa habari ilizoziandika vinginevyo wataliburuza mahakamani.Pamoja na hayo mkurugenzi wa kituo hicho amesema kuwa gazeti hilo lisiwe chanzo cha kuchochea vurugu bila ya tija yeyote.

Mtazamo wangu:Naamini MTANZANIA WATAKUJA NA USHAHIDI KUTHIBITISHA WALOANDIKA JUU YA KITUO HIKI KUFUNDISHA UGAIDI NA KUINGIZA SILAHA NCHINI KIMAGENDO.
SOSI:AMPLIFAYA-CLOUDS FM
 
Mambo ya ugaidi ni tofauti kidogo! Jukumu la kupuruvu kutohusika na tuhuma ni la mtuhumiwa! Hawa watu inabidi waprove beyond reasonable doubt kuwa hawahusiki na hiyo kitu! Short of that wahusika wafuti kibali yao!
Hata serikali imesema kuwa hakuna wageni wanaoingia UKEREWE,tusubiri kesho MTANZANIA WAJE NA MAJIBU,
KWA HIYO WW OMBI LAKO NI KUKIFUTIA USAJILI,HAYA KAKIFUTIE
 
Hta Mbunge wao alisema Bungeni
Mimi sijaona kosa la mwandishi wa habari kuiandika habari hiyo na hata wakazi wa Ukerewe wanazungumzia ubabe wa huyo Diwani Sheikh Ramadhani S. Mazige anavyotumia ubabe kwa kuwazuia watu wengine wasiingie Chuoni humo
Bora waje FBI ukweli utajulikana maana wengi wa sisi Watanzania tumejaa unafiki ambao ni woga mtupu.
Mwandishi wa habari hizo ni Bint na jumatano hii alikuwa amalizie Taarifa za Chuo hicho katika Mtanzania sasa mnaanza kumtisha. Ukweli utajajulikana tu hata km sio kutoka kwa kina Bashe
 
najua wengi wenu humu ndani mnashabikia palemnapoona usilamu unajengewa picha mbaya. shule za kiislamu zilijengewa picha mbaya kwamba zinafelisha, mkachekelea sana , leo sasa asilimia 60.5 wamefeli mnasikitika! msisikitike maana hao waliofeli wote ni waislamu endeleeni kukenua msiwe na woga. leo nashangilia pale hicho kijarida chenu cha udaku ninapochomoka gizani na uzandiki wa kupikwa na kukituhumu chuo kilichosajiliwana selikali, na kukaguliwa kila mara kwamba kinafundisha ugaidi, hhhhaaaaa, hivi huomnaouita ugaidi ni upi maana hilo neno lenyewe hatukuwa nalo tumelidaka huko kwa wazungu, nadhani hata mahakama za hapanchinihaziwezi kusikiliza kesi zaugaidi maana hata neno halifahamiki vizuri
sitaki kuamini kama sheria katili na mbovu tuliyonayo ya ugaidi ya mwaka 2002 inadefine ugaidi kuwa ni uislamu, nakumbuka mwanzoni mwautekelezaji wa sheria hiyo walivyokamatwa waislamu wa zanzibar na kupelekwa guantanano wakateswa bila ya kupelekwa mahakamani.wala kufunguliwa mashitaka iliyoyatekeleza yote haya ilikuwa ni selikali ya ndugu b.mkapa. siwezi kuamini kama uislamu leo unabadilishiwa jina na kutajwa kama ugaidi?
potelea mbali, mwanzoni wakati wa uislamu umeanza kushika kasi, makafiri walidai kuwa ni uchawi na wengine wakauita majina ya ajabu sana. ila baadae hao waliokuwa wabaya wa waislamu walisilimu na kuwa waislamu na uislamu uliwapokea kwa mikono miwili ! nafikilitunahitaji mabadiliko makubwa ya kifikra hasa kwetu waafirka na watanzaniakwa ujumla.
mungu wabariki waislamu, mungu ibariki africa mungu ibariki tanzania
asante
 
ikibainika kuwa gazeti lilisema uongo. naiomba serikali kulifuta gazeti la mtanzania kwa uchochezi.
 
Kwa mtazamo wangu jambo hili ninaliona kuwa ni nyeti sana hebu lifanyiwe uchunguzi wa kina ili tuone nani wa kuhukumiwa, si jambo la kila mtu kuja na lake!
 
najua wengi wenu humu ndani mnashabikia palemnapoona usilamu unajengewa picha mbaya. shule za kiislamu zilijengewa picha mbaya kwamba zinafelisha, mkachekelea sana , leo sasa asilimia 60.5 wamefeli mnasikitika! msisikitike maana hao waliofeli wote ni waislamu endeleeni kukenua msiwe na woga. leo nashangilia pale hicho kijarida chenu cha udaku ninapochomoka gizani na uzandiki wa kupikwa na kukituhumu chuo kilichosajiliwana selikali, na kukaguliwa kila mara kwamba kinafundisha ugaidi, hhhhaaaaa, hivi huomnaouita ugaidi ni upi maana hilo neno lenyewe hatukuwa nalo tumelidaka huko kwa wazungu, nadhani hata mahakama za hapanchinihaziwezi kusikiliza kesi zaugaidi maana hata neno halifahamiki vizuri
sitaki kuamini kama sheria katili na mbovu tuliyonayo ya ugaidi ya mwaka 2002 inadefine ugaidi kuwa ni uislamu, nakumbuka mwanzoni mwautekelezaji wa sheria hiyo walivyokamatwa waislamu wa zanzibar na kupelekwa guantanano wakateswa bila ya kupelekwa mahakamani.wala kufunguliwa mashitaka iliyoyatekeleza yote haya ilikuwa ni selikali ya ndugu b.mkapa. siwezi kuamini kama uislamu leo unabadilishiwa jina na kutajwa kama ugaidi?
potelea mbali, mwanzoni wakati wa uislamu umeanza kushika kasi, makafiri walidai kuwa ni uchawi na wengine wakauita majina ya ajabu sana. ila baadae hao waliokuwa wabaya wa waislamu walisilimu na kuwa waislamu na uislamu uliwapokea kwa mikono miwili ! nafikilitunahitaji mabadiliko makubwa ya kifikra hasa kwetu waafirka na watanzaniakwa ujumla.
mungu wabariki waislamu, mungu ibariki africa mungu ibariki tanzania
asante
.
Umeandika kwa jazba na ushabiki ukapoteza maana na ukweli.Mtanzania aliyepelekwa Guantanamo inajulikna ni Mzanzibar na alihusika na ulupuaji wa ubalozi wa Marekani 1998,na amefungwa na kesi yake ilikuwa inafuatiliwa na vyombo vingi vya habari ndani na nje.Unapokuwa na ushabiki usifikri wote hawana kumbukumbu.Pia sheria kama imepitishwa na bunge je mahakama ambayo ni chombo cha kutafasiri sheria kinashindwaje kutambua makosa yanayoangukia kwenye sheria ya UGAIDI.?
 
Acha kuongea upuuzi huna uhakika na unachokiongea. Hata mkuu wa mk amekanusha weweje?
 
Sasa redio iman imefungiwa ili magaidi kuliko mmarekani (alie lipua nagasaki na hiroshima,anachochea mauaji kila siku ila mungu hajampa ugaidi kama waislam) wasisikike. Furahini
 
Back
Top Bottom