Al Jadawi yuko Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al Jadawi yuko Tanzania?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Gembe, May 8, 2009.

 1. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Heshima Mbele,

  Kuna mambo matatu nataka kujua

  1. Nani ana taarifa za Al Jadawi? Kuna ka nzi kameniambia yuko Tanzania kwa sasa

  2. Je familia yake ya zanzibari iko karibu na familia ya nani?

  3. Shareholders wa Dowans kwa upande wa Tanzania ni kina nani (the name of the company please)

  Am trying to connect to the dot about one things..nimeanza kuogopa!
   
 2. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mnatafuta ugomvi na Mkuu wa kaya hapa, mlishaambiwa Al Jadawi ndiye mmiliki wa DOWANS nyie hamkubali, unaogopa nini wakati issue unaijua kwani kila anayejua atawajibika kwa anachokijua.

  Hiyo link ndiyo inampa kiburi Fisadi papa RA, na ndio inamfanya Malegesi hayuko ndani mpaka leo
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  May 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  duh haya yote tumeshayasema mkuu.. anaitwa Brig. Gen. Suleiman Yahya Mohammed Al-Adawi.. alizaliwa miaka ya hamsini na kuondoka Zanzibar miaka michache kabla ya mapinduzi ya Zanzibar.. familia yake ina nyumba Dar na Zanzibar (ana ndugu zake wengi tu na wana biashara kadhaa). Ana ukaribu wa mahusiano na Rostam na watawala wa Zanzibar.. pia vyanzo vya intelligencia vinadokeza kuwa ana mahusiano ya karibu na watu wa CUF hususan mmoja wa viongozi wakuu wa CUF..
   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  mkuu nawe UWT
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ni mwanajeshi? wa jeshi lipi? la taifa gani?
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  May 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Oman...
   
 7. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo hana uraia kabisa wa Tanzania (that means aliukana), Hivi hana nyumba au biashara (zaidi ya nyumba na biashara za familia)? Unajua mtu aliyekimbia kipindi cha heka heka za kutafuta uhuru, akaenda nchi nyingine na kupewa nafasi hata kuwa Brg. ni mtu hatari kumpatia nafasi ya kujinafasi kwenye biashara au siasa za nchi yetu kwani hana uzalendo. Mambo haya yasipothibitiwa tutaingia kwenye ubaguzi na waasia ndo wataathirika sana, dharau zao zinafika pabaya sasa.
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  May 8, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mwanakijiji je huyu ana uhusiano na brigedia al hardhi wa oman ambaye ana ndugu znz na tanga ??
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  May 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli sijui.. nadhani anajitambulisha zaidi kama Mzanzibari kuliko Mtanzania.. sijui kama amewahi kuwa raia wa TAnzania..
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  May 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  kina al-hardhy.. pamojana mwalimu Barubaru wana historia ndefu Tanzania tangu enzi na enzi (baadhi ya mashehe wakubwa na wanazuoni wa Kiislamu) na sijui kama kuna kuna uhusiano na kina Al-Adawi wa Zanzibar.. ingawa najua kina Al-hardhy (sijui kama na spell jina lao sawa) wana jamaa pia huko Zanzibar.
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  May 8, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Al harthy ana uhusiano mkubwa na huyo al adawi -- wana office moja pale nssf opst redcross ( ni internet cafe ) ila imeajiri wasomali wengi wenye kufanya biashara kati ya oman , znz na congo pamoja na tz mainland ( mara ya mwisho najua al harthy alikuwa kongo katika biashara ya madini
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Aliondoka wakati Tanzania haijulikani au haijawa Tanzania, kwa mujibu wa habari za Mwanakijiji (sijui ukweli wake) kuwa aliondoka kabla ya mapinduzi, wakati huo kulikuwa hakuna Tanzania.

  Kwa nini ushikilie kakimbia? alichokikimbia ni nini? pengine aliondoka kwenda masomoni nje na akapata ulaji huko huko kama ilivyo kwa wengi wa wana JF?
   
 13. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Ni kweli alikuwapo Zanzibar kiasi cha wiki tatu zilizopita kwa hakika. Rostam alikwenda huko kuonana naye kama kawaida yao. Al Adawi ambaye alikuwa ADC wa Mfalme wa Oman, ni mtu muhimu sana kwa siasa za TAnzania. Ana majumba mawili ya kifahari katika beach za East eneo la Bwejuu na West Coast eneo la MAzizini. Mazizini aliuziwa kwa bei ya bure na Dk; Salmin Amour nyumba ya serikali na aliibomoa na kujenga kasri. Ahsante Gembe kutuzindua, tunamrafuta.
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  May 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  well.. ndiye aliyefanya mipango ya uanzishwaji wa Dowans Holdings kule Costa Rica na kwa msaada wa RA kuweza kuiingiza nchini na kuwa na share katika the second Dowans Tanzania Limited...
   
 15. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  well, sasa ameruhusiwa vipi kumiliki ardhi na nyumba wakati si Mtanzania?
   
 16. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Sawa Mkuu nimekuelewa vizuri.
   
 17. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nadhani sheria inamruhusu.
   
 18. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  umh! hapana kama ni hivyo Kenya na Rwanda wasingetununua juu EAC?
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 20. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukiwa Mzanzibari moja kwa moja wewe ni Mtanzania. Lakini unaweza kuwa Mtanzania pasipo kuwa wewe ni Mzanzibari. Uraia una ncha nyingi , na ya muhimu ni nile ya kuwa raia wa kuzaliwa, na kutoukana uraiawako wa kuzaliwa.
   
Loading...